Natafuta Video Producer

Jazzie

Member
Jan 30, 2008
73
35
Wandugu,

Bado natafuta mtu yeyote ambaye yuko Bongo mwenye utaalam wa ku-shoot na ku-edit videos. Kama una background ya journalism hiyo itakuwa murua zaidi. Tafadhali wasaliana na mimi kama una utaalamu huo ili tuzungumze zaidi juu ya mpango mzima.

Kama una mifano ya kazi zako sehemu kama YouTube, Vimeo, etc tafadhali unitumie links za kazi yako.

Email yangu ni mettyn@gmail.com.
 
Kwenye tasnia ya filamu kazi za producers sio ku shoot wala ku edit.
 
ni kutafuta wadada wazuri tu ndio kazi yao..

Wana majukumu mengi sana la muhimu ni kuaandaa na kusimamia bajeti ya filamu. Chukulia kazi ya meneja mradi katika NGO ndio hawa mabwana. Huyo anayeitwa msaka wadada wazuri casting director yupo chini ya director.
 
Nduka, sitafuti producer wa filamu. Let me put this way - natafuta mtu mwenye uwezo wa kushoot na kuedit videos kwa makusudi tofauti na filamu. Kama unamfahamu mtu kama huyo, please let me know. Nitashukuru
 
Wandugu,

Bado natafuta mtu yeyote ambaye yuko Bongo mwenye utaalam wa ku-shoot na ku-edit videos. Kama una background ya journalism hiyo itakuwa murua zaidi. Tafadhali wasaliana na mimi kama una utaalamu huo ili tuzungumze zaidi juu ya mpango mzima.

Kama una mifano ya kazi zako sehemu kama YouTube, Vimeo, etc tafadhali unitumie links za kazi yako.

Email yangu ni mettyn@gmail.com.
0715177172 anaitwa stive wasiliananae
 
mkuu,mimi ndio naanza ,na ntakua nafanya film effects,animation,cartoon animation etc.Sio mbaya kama malengo yanafanana tuka brain storm kitu cha kufanya
 
Wandugu,

Bado natafuta mtu yeyote ambaye yuko Bongo mwenye utaalam wa ku-shoot na ku-edit videos. Kama una background ya journalism hiyo itakuwa murua zaidi. Tafadhali wasaliana na mimi kama una utaalamu huo ili tuzungumze zaidi juu ya mpango mzima.

Kama una mifano ya kazi zako sehemu kama YouTube, Vimeo, etc tafadhali unitumie links za kazi yako.

Email yangu ni mettyn@gmail.com.

Wasiliana nasi 5effects movies co; email:5effectsmoviestz@gmail.com
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom