Natafuta video clip ya Tangazo la Chai Jaba niwape wanangu kama cartoon

Mie natafuta lile la salama condoms kama unampenda utamlinda.

Mdada alikua ametoka kazini, mvua ilikua ikinyesha, alikua akiwaza ni jinsi gani atarudi home, akatokea jamaa yake gentleman hivii akamfunika na mwamvuli.
Kamziki kana play on the back ground, then inaskika sauti

"Kama unampenda utamlinda"
 
Natafuta Tangazo la Bia Tusker mwishoni mwa miaka ya 90 "ni tuske ni tusker.....baada ya kazi burudika na tuskerrrrr"

Lingine lile la safari lager 'safari ni safari... Safari moja huanzisha nyingine" mbaya zaidi Mama alinambia wanywaji wa pombe nyumba zao ndio hiyo ilochorwa kwenye bia ya safari yaani kanyumba ka nyasi hivyo nisinywe pombe katu
 
me natafuta lile la Coca au pepsi kombe la dunia 2006 au 2010 lipo kikatuni flan hivi kuna manzi aliingiza mchepuko sasa mme wake akaja ikabidi demu amfiche mchepuko kwenye kabati wakat huo huo mechi inaendelea kweny screen sebuleni goal likafungwa wakawa wanashangilia hadi ule mchepuko ukashindwa kuvumilia ukatoka kabatini ukaungana kishangilia

Ilo hapo mkuu
 
Natafuta Tangazo la Bia Tusker mwishoni mwa miaka ya 90 "ni tuske ni tusker.....baada ya kazi burudika na tuskerrrrr"

Lingine lile la safari lager 'safari ni safari... Safari moja huanzisha nyingine" mbaya zaidi Mama alinambia wanywaji wa pombe nyumba zao ndio hiyo ilochorwa kwenye bia ya safari yaani kanyumba ka nyasi hivyo nisinywe pombe katu
daa wewe ndio umenipa bonge ya flash back,

'safari ni safari ni safari, iwe kwa mguu ama kwa basi/gari safari ni safari'

sijui ni elf 2 na ngap ile, hapo bi mkubwa anaanda msosi, sina ninachojua zaid ya kucheza na kula,

nakumbuka hio siku et nimemng'ang'ania bimkubwa nampeleka polisi(kile kituo pale external tulikua tunaish oposite) kisa kapasua puto langu,

Daa
better days when i was soo inocent,
asaiv nimekua juhaa....
haya maisha pumbavu kbsa....
nimalize kilichonileta nisepe tu.
 
Kumbe hii tabia yako ya kupenda vikesi ili ulipwe umeianza toka zamani, shwaini wewe!!
 
Alaaaa! mzee mbn umenikosea heshima from nowhere?
Ulichoandka nacho hakieleweki,

Sikufahamu, hunifaham, sijawah hata kukuquote wala hatujawah gongana kimaslah, sijawah kuku crash, sasa vp mzee?
Maana nimejarb kutafta hata uliwaza nn lkn wap

unless km hukua na maana hio, kinyume na hapo una kitu.

Anyway huu ndio uhuru wa kutype sasa...
 
Natafuta Tangazo la Bia Tusker mwishoni mwa miaka ya 90 "ni tuske ni tusker.....baada ya kazi burudika na tuskerrrrr"

Lingine lile la safari lager 'safari ni safari... Safari moja huanzisha nyingine" mbaya zaidi Mama alinambia wanywaji wa pombe nyumba zao ndio hiyo ilochorwa kwenye bia ya safari yaani kanyumba ka nyasi hivyo nisinywe pombe katu
Safari ni safari....... lilikuwa linapigwa saa 2,
 
me natafuta lile la voda la vocha ya jiti tatu
kati ya demu na mangi..demu anajichekesha kwa huyo magi aendaye kwa jina la meku ili ampe vocha ya jero ilhali yeye ana mia tatu tu
 
Back
Top Bottom