Natafuta video camera-mtumba

Mtembezi

Member
Oct 28, 2010
43
0
Wapwa zangu wa zanzibar na mahali pengine tz mimi mjomba wenu natafuta video camera mtumba aina ya sonny 3ccd pd170 pamoja na accessories zake.natanguliza shukrani!
 
MTEMBEZI Ungesema unashilingi ngapi na unataka tanzania tu na Zanzibar waweza pata nje ya Dar .....hivyo ingekuwa bora kusema wewe umeandaa bei gani ili tukutafutie ndg yetu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom