Liston Cosmas
Member
- Mar 4, 2015
- 12
- 11
Habari wakuu. Nilikua naomba kuuliza kama kuna yeyote huku anayeuza au anayejua mahali ambapo ningeweza kupata moldi (vibobo) vya kutengeneza ice cream (barafu) nyingi. Inaweza kuwa kubwa au kufanana na picha niliyoambatanisha hapa kwenye posti. Asanteni sana.