Natafuta used Tv inch 42 au 43.. isiyozidi laki 6...

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,516
habari wadau..

huu ni mnada huru.. nahitaji tv kwa ajili ya glossary yangu inch 42 au 43..

kwa mnaouza tv.. njooni hapa mueleze una tv ya aina gani na unauzaje.. na imetumika muda gani...

ni vizuri maelezo yakawekwa hapa hapa sio pm.. ili nijiridhishe ipi itanifaaa...

angalizo sio kisa nimesema laki 6.. ndio iwe fixed hata mtu aliyekuwa na tv yake anauza laki 3... nae akapanda hadi laki 6 yangu... sema bei yako uliyopanga kuuza toka mwanzo... so wa laki 3,4,5 wote mnakaribishwa pia

transparent ni kitu muhimu kwenye biashara ya used product ndio maana pm sitaki...

na ushauri pia unakaribishwa
 
Kwel mkuu wawek na pic me mwenyw nampang wa kuingia shop lkn nikipta bomba hap hap panatosha
 
8b7938fecee6de9efc45e084755b90fb.jpg
 
Back
Top Bottom