Natafuta Used Stone crusher yenye uwezo wa tani 5 mpaka 10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Used Stone crusher yenye uwezo wa tani 5 mpaka 10

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Masikini_Jeuri, Jan 24, 2012.

 1. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Wadau mwenye link ya mashine hizi za kupondea kokoto za ukubwa mbalimbali naomba anisadie preference ni mobile stone crusher ya uwezo wa tani 5 mpaka 10.............mengine zaidi mtanisaidia.
   
 2. b

  bagamoyo1 Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  bajeti yako kiasi gani tuma specification zako na size ya out put product . nataka uelewe hizi sio machine za chini ya sh 50 million kama huna hiyo pesa usijisumbue kuwekeza kwenye sector hii
   
Loading...