Natafuta URAIA wa Botswana, Ghana , US , Uswisi au Australia (OCT 31) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta URAIA wa Botswana, Ghana , US , Uswisi au Australia (OCT 31)

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Moseley, Oct 10, 2010.

 1. Moseley

  Moseley Senior Member

  #1
  Oct 10, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Habari ndugu zangu!

  Napenda kuweka wazi kuwa sina haja ya kuendelea kuitwa Mtanzania kama chama tawala cha sasa kitaendelea kushika hatam oct 31..

  Kwa maana hiyo, sina haja ya kujivunia kuwa mie ni mtanzania, wakati mambo yanakwenda hovyo..

  Sababu:

  1. Chama tawala kinatumia ujinga wa watanzania kama mtaj wa kutawala milele..

  2. Chama hicho hicho hakifanyi juhudi ya kuwapa elimu watu wake kwa maana wanatambua fika kuwa wananchi wakipata elimu hawatakubali kutawaliwa HOVYO na chama hicho..

  3. Chama hicho hicho kinamiliki jeshi, mahakama na kimekuwa kikiendelea kuwa na wabunge wengi ambao wapo pale kwa matumbo yao....

  4. Chama hicho hicho kinamiliki rasilmali nyingi kuliko vyama vingine, kiasi kwamba hakuna ushindani sawa wa kisiasa, kwa maana hiyo hakuna Demokrasia ya kweli... Kwa hili nachelea kutoa lawama kwa baba wa taifa ya kwamba kwa nini HAKUIPASUA CCM kabla hajaondoka  Tulitegemea kulikoa taifa kwa nguvu ya umma, Ila hatujaweza kuwaelimisha watu kiasi cha kutosha kutokana na rasilimali chache zilizopo kwa wanaharakati na nyingi kuegemea upande wa chama tawala ambacho hakitaki elimu ipatikane kwa wananchi.. Maana wananchi wakiwa na elimu, utawala huo utakufa...

  Kutokana na maneno hayo natangaza rasmi kuanzia tarehe 31 oct, nisiitwe mtanzania kwa maana sina cha kujivunia..

  Na kwa maana hiyo naomba watu wanaoweza kunisaidia kupata uraia wa Botswana, Ghana , US , Uswisi au Australia wanisaidie.. Hata kama huko nako kutakuwa na matatizo, naamini sio kama ya hapa kwetu nyumbani

  Shukrani
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Kuna siku nilikuwa Malawi ilibidi niwe mpole pale nilipokutana na watu ambao wandhani Tz hatuna viongozi.Nilikuwa golf club pale Mzuzu yaani watu waliichambua Tz na uozo wake mpaka nkawa mdogo.
  Mwaya all the best
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,701
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  All the best mkuu
  Mi mwenyewe nimechoka kweli
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,009
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  mimi pia thithiem ikichakacha matokeo nahamia soth africa
   
 5. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #5
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafuta mke uowe wa nchi hizo tajwa unalamba uraia!
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Oct 11, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,497
  Likes Received: 3,370
  Trophy Points: 280
  Huna haja ya kuhama/kukimbia nchi kwani CCM hawashindi..
   
 7. Muadilifu

  Muadilifu Senior Member

  #7
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  The Following User Says Thank You to Katavi For This Useful Post:

  Muadilifu (Today) ​
   
 8. LD

  LD JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,015
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hakuna haja ya kukimbia wala kukata tamaa safari ni ndefu lakini tutafika,uwe na moyo mkuu, ujasiri,ushujaa na uhodari.
  Maana nchi hii ndio aliyokupa Muumba wako uitawale na kuimiliki.

  Siku yakuondoka Wafilisti na mkuu wao(goliatre) kukatwa kichwa na Daudi ipo, hata kama sio 31 oct, si unajua Farao lazima aone ishara na maajabu mengi ndipo awaachie wana wa Watanzania?
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,780
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Subutuu! Nani kakwambia CCM itashinda?
   
 10. dazenp

  dazenp Senior Member

  #10
  Oct 11, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  tupeni kura zenu CHADEMA then mujiandae kwenda maana mimi nipo sana mpaka kielewekeee haiwezekani wachakachua mpaka pumba lohhh
   
 11. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  hapo oct31 patakuwa padogo sana mwaka huu
  hatudanganyiki
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,463
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Badala ya kukimbia nchi, kuwa tayari kuutoa uhai wako kwa ajili ya ukombozi wa nchi yako..
   
 13. G

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 742
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  sasa ukikimbia nchi unamuachia nani jukumu la
  kuikomboa nchi?
   
Loading...