Natafuta "Uongozi wetu na hatima ya TZ" by J.K. Nyerere

Hivi kuna mtu anacho hiki kitabu? kama ancho anaweza kutuwekea humu?

Bwana hicho kitabu kipo lakini katika paper back ni vigumu kukipata katika soft copy,hata hivyo nimewahi kujaribu kupata nakala japo 2 au 3 waterstones na amazon,wote walipokea oda ila wanadai hakimo kwenye stock wanawasiliana na mchapishaji kama wanaweza kupata basi watawasiliana nami ili kudeliver.Ila kwenye maktaba mf.udsm kipo,hata hivyo zinazopatikana sana ni nukuu muhimu tu,hawa bwana CCM hawakupenda kabisa kisambae.Anyway natumaini tutakipata tu.
 
Zilifanyika jitihada za makusudi kitabu hiki kisisambae sana, katika hali ya sasa tunapopambana na 'manyan'gau, itakuwa nukuu ya maana sana kuwauliza nia yao hasa ni ipi kwa nchi yetu na kizazi kijacho?
 
Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania... Ngoja tujaribu fanya makusudi ya kuscan na kupata PDF document... ni hatua ngumu lakini nadhani soft copy itapatikana kwa urahisi zaidi likifanyika hilo.
 
Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania... Ngoja tujaribu fanya makusudi ya kuscan na kupata PDF document... ni hatua ngumu lakini nadhani soft copy itapatikana kwa urahisi zaidi likifanyika hilo.

UTAKATA MZIZI WA FITNA ukiwepa PDF version ya hicho kitabu
 
Hivi kuna mtu anacho hiki kitabu? kama ancho anaweza kutuwekea humu?

Mkuu hiki kitabu mie nimeletewa hard copy yake leo,kwa hiyo najitahidi kama nikipata muda niweze kuscan kina kurasa 91 lakini ni version ya kiingereza,japo ile ya kiswahili ndio original.Nimekipata huko Africa Book Centre nilikokupa ile link mata ya mwisho niipotoa maoni humu.
 
Tunakisubiri kwa hamu
 
Back
Top Bottom