Panya Mabaka
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 619
- 557
Natafuta ufadhili na udhamini kwaajili ya ujenzi wa shule ya sekondari. Eneo ninalo la kubwa wa heka kumi ila sina pesa ya ujenzi. Nipo Urambo Tabora. weka neno lolote tafadhali.
Kwa Tanzania Eneo sio shida sana, wenye maeneo kama wewe wapo wengi sana, cha muhimu ni kwa wewe angalau ungeelezea eneo lako lina nini cha kuvutia kuwa shule hapo, labda jirani na mji, maji ya uhakika, njia za uhakika, nkNatafuta ufadhili na udhamini kwaajili ya ujenzi wa shule ya sekondari. Eneo ninalo la kubwa wa heka kumi ila sina pesa ya ujenzi. Nipo Urambo Tabora. weka neno lolote tafadhali.
sehemu inaitwa urambo mjini,njia ya kuelekea kijiji cha kalemelaUnaeneo sehem gani urambo