• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Natafuta udereva gari za mizigo(FUSO etc)

SHIMBA NGOSHA

SHIMBA NGOSHA

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
291
Points
500
SHIMBA NGOSHA

SHIMBA NGOSHA

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
291 500
Mi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, Mkazi wa Shinyanga/Kahama , nina elimu ya kidato cha nne pia nina Certificate in driving kutoka VETA

Ni kijana mchapakazi sana(kukesha kazini jambo la kawaida sana kwangu),
ninaejali gari(service)-gari ni kama mke kwangu.

Nina uzoefu wa miaka 5 katika kazi hii nimeendesha lami pia ninauwezo mkubwa sana wa kuendesha rough road, Katavi ni kati ya
mkoa nilokua na uzoefu nao sana pia ikiwemo , Kagera, Kigoma, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Dodoma, Geita.


Natanguliza shukran zangu, kwa taarifa yoyote naomba uniPM
 

Forum statistics

Threads 1,402,620
Members 530,953
Posts 34,400,511
Top