Natafuta tx kutoka iringa au dodoma

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Sikuhizi, hawa matx wandani wamekuwa taabu sana kupatikana.

Ugumu wakupatikana kwao nikama biashara ya kumtafuta mchumba.

Naomba nisaidiwe kupata house girl aliyetulia... Nielekezwe tu mie ntafuata
 
Sikuhizi, hawa matx wandani wamekuwa taabu sana kupatikana.

Ugumu wakupatikana kwao nikama biashara ya kumtafuta mchumba.

Naomba nisaidiwe kupata house girl aliyetulia... Nielekezwe tu mie ntafuata
Nenda huko huko Iringa na Dodoma utawapata
 
nenda huko huko iringa na dodoma utawapata

watu wote wanafanya hivyo? Naanzia wapi jamani,
mhh na gharama za kusafiri itakuwa kubwa mno naomba kama kuna mtu anaweza saidia
kwa gharama nafuu kidogo
 
unazijua vizuri sheria za nchi ,nitafute nikupe ili ujue haki na wajibu wako kwa hao ma tx ,kama unavyowaita ,kama vipi mtafute ndugu yao
 
weka tangazo la kazi likiwa na sifa utakazo na na kiasi cha mshahara, usisahau kuweka na nssf/ppf
 
weka tangazo la kazi likiwa na sifa utakazo na na kiasi cha mshahara, usisahau kuweka na nssf/ppf
ndivyo ilivo cku hizi labda ndio maana sipati. Mie tx awe na umri juu ya miaka 18 na awe anajua kusoma na kuandika na awe na maadili ya kiafrica, nalipa 50, 000.
 
unazijua vizuri sheria za nchi ,nitafute nikupe ili ujue haki na wajibu wako kwa hao ma tx ,kama unavyowaita ,kama vipi mtafute ndugu yao

Nisaidie hizo sheria maana niko njia panda. Nawahesh sana ndio maana na waita hivyo, kwani hao wananafasi kubwa katika familia ili vitu vingine viende vizuri. Bila hawa ma expatriate maisha ndani ya nyumaba huwa yanakuwa magumu hasa ukiwa na watoto wadogo na nimfanya kazi.
 
Back
Top Bottom