Nenda huko huko Iringa na Dodoma utawapataSikuhizi, hawa matx wandani wamekuwa taabu sana kupatikana.
Ugumu wakupatikana kwao nikama biashara ya kumtafuta mchumba.
Naomba nisaidiwe kupata house girl aliyetulia... Nielekezwe tu mie ntafuata
mnyamani sehemu gani na kwa nani?
ndivyo ilivo cku hizi labda ndio maana sipati. Mie tx awe na umri juu ya miaka 18 na awe anajua kusoma na kuandika na awe na maadili ya kiafrica, nalipa 50, 000.weka tangazo la kazi likiwa na sifa utakazo na na kiasi cha mshahara, usisahau kuweka na nssf/ppf
unazijua vizuri sheria za nchi ,nitafute nikupe ili ujue haki na wajibu wako kwa hao ma tx ,kama unavyowaita ,kama vipi mtafute ndugu yao