Natafuta trekta

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,867
11,246
Wana Business and Economic Forum,

First of all i would like to commend you for all the effort in educating us on potential opportunities on investment as well as duly technical materials that have benefitted me for a while now

I am back, now i want to buy a tractor kwa ajili ya kulima.... ninategemea kulima, na ninahitaji trekta as soon as practically possble... Yafuatayo ni mahitaji yangu
  1. trekta lenye uwezo wa kulima hadi eka 40 kwa siku
  2. nguvu ya kufanya kazi hata kwenye plateaus and mabonde
  3. Robust na linaweza kuhimili mazingira ya tanzania kama kilombero, ifakara, nachingwea, kiteto, kilindi, bahi nk

Naomba msaada ili niweze kukomboa familia na taifa kwa ujumla

Nahitaji pia kujua bei na wapi hapa Dar naweza kupata ready na sio la kuagiza nje... with good service possibilities
 
MTM hongera kwa kuona umuhimu wa kuwekeza kwenye kilimo ambayo ndo uti wa mgongo katika nchi yetu.Una wazo zuri sana la

kununua trekta lakini nadhani ingekuwa vizuri ungespecify aina gani,made where n.k but kama huna uzoefu kabisa na matrekta,TAFUTA

MASSEY FERGUSON MF 165,MF 265,MF 175 na yenye nguvu ya HP(Horse power) 50 na kuendelea.haya matrekta mengi mazuri ni ya

MUINGEREZA,MUHOLANZI,yapo ya Pakistan but siyajui vizuri.

WAPI UTAPATA DAR?-fungua link hii www.alibaba.com/massey

kilimo haikwepeki,hata ukikwepa vipi,ukistaafu utalima tu!
 
Mi nimewah ona yakiwa kwenye yadi hapo opposite na karakana tazara km unaenda airport, nafikir wanauza jaribu kuwachek
 
I am dead serious on this and thanks alot kwemt for your link, i have just followed it and i am waiting for results, sijajua budget itakuaje lakini i am determined ... tunashinda na magari mjini yanatuletea ushetani tu
 
Wana Business and Economic Forum,

First of all i would like to commend you for all the effort in educating us on potential opportunities on investment as well as duly technical materials that have benefitted me for a while now

I am back, now i want to buy a tractor kwa ajili ya kulima.... ninategemea kulima, na ninahitaji trekta as soon as practically possble... Yafuatayo ni mahitaji yangu
  1. trekta lenye uwezo wa kulima hadi eka 40 kwa siku
  2. nguvu ya kufanya kazi hata kwenye plateaus and mabonde
  3. Robust na linaweza kuhimili mazingira ya tanzania kama kilombero, ifakara, nachingwea, kiteto, kilindi, bahi nk

Naomba msaada ili niweze kukomboa familia na taifa kwa ujumla

Nahitaji pia kujua bei na wapi hapa Dar naweza kupata ready na sio la kuagiza nje... with good service possibilities

Welcome to the world cuz........Nadhani pale YUASA AUTO IMPEX wanazo MASSEY FERGUSON nzuri kabisa.....
 
Wakuu, kuna idea nilitumia kutoka hapa jukwaa la biahsara mwaka jana... huwezi amini imenipa ufunuo wa pekee
 
hapo opposite na millenium towers kuna jamaa wanakuwaga na tractors na boats pia. na kibaha nadhani zamani TAMTI kama sijakosea kunauzwaga new tractors. japo nahisi ungeulizia pale wizara ya kilimo ukajua benefits utakazopata, unaweza kuingiza trekta nchini bila kodi kabisa. kila la kheri, hopefully unawaza kilimo cha kisasa cha umwagiliaji manake hali ya hewa haitabiriki. basi ulizia kuna trekta kubota inamwagilia pia (kwenye kilimo heavy duty hivyo sidhani kama inaweza). profeshenali mi ni bwana shamba na sivuti bange had valentine day so u can make use of me for now.
 
:A S embarassed::shock::eyebrows:...... :crutch:
 
Wakuu, kuna idea nilitumia kutoka hapa jukwaa la biahsara mwaka jana... huwezi amini imenipa ufunuo wa pekee

Idea gani hiyo mkuu, mega kidogo ili kama kuna mtu alishindwa kuitumia umsaidie njia na yy afaidi.
 
I am dead serious on this and thanks alot kwemt for your link, i have just followed it and i am waiting for results, sijajua budget itakuaje lakini i am determined ... tunashinda na magari mjini yanatuletea ushetani tu

Kuna kaukweli fulani hapo pekundu, njoo tushinde shambani tuongeze siku za kuishi !!!!!!!!.
 
I am dead serious on this and thanks alot kwemt for your link, i have just followed it and i am waiting for results, sijajua budget itakuaje lakini i am determined ... tunashinda na magari mjini yanatuletea ushetani tu
ahahahaaa!!! Hongera kwa maamuzi haya mkuu!!
Trekta halina tinted!!!!
 
Kama una muda mtwangie huyu 0713993006 au 0757420211 ana trector kutok Uk pale Dar anaweza kukusaidia.
 
I am dead serious on this and thanks alot kwemt for your link, i have just followed it and i am waiting for results, sijajua budget itakuaje lakini i am determined ... tunashinda na magari mjini yanatuletea ushetani tu

Du! kweli umeamua, ungekuwa karibu nami tungeshare bwana maana mimi sina uwezo wa kulinunua na nimewafuatilia wa kilimo kwanza wanikopeshe wamenitia kichefuchefu!
 
Kuna jamaa anaenda Malawi anakuja na Massey nzuri na bei yake huwa around 9-12 Million.yeye ni fundi huwa anaenda kununua spares na off-farm tractors.anapatikana mpakani mwa malawi na Tz.
Miezi 4 iliyopita alikuwa na Tractor zuri.hali yangu haikuruhusu sikuweza kulichukua.
Jamaa anaitwa Chawinga ni maarufu sana pale border na anaweza kudeliver to your location
 
Back
Top Bottom