Natafuta Trackball ya Blackbery

gwambali

JF-Expert Member
May 10, 2011
230
76
Jamani natafuta trackball ya blackberry mwenye nayo anitafute tafadhali, au mwenye
Blackberry Pearl 8100, 8110, 8120, 8130​
Blackberry Curve 8300, 8310, 8320b​
lackberry 8800, 8820, 8830​

na kuendelea nahitaji trackball tu.

153121_090614152622_Blackberry_8800_Trackball.jpg
 
Duuuhhh..kwa Bongo hapa itapatikana tu..pitia pitia mitaa ya Samora pale...!!

Nashukuru kwa maelekezo mkuu, siwezi kupata contact za mtu ambaye anaweza kuwa nazo ? maana kama unavyo jua samoro ni kubwa mkuu, au Karibia na SAPNA?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom