Natafuta Toyota Carina TI

Ngosha Mashine

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
625
1,251
Huu ni uzi wa pili kuleta humu kuhusu hii gari, kiukweli nimevutiwa nayo kuna jamaa yangu aliibahatisha used anayo mwaka wa nne sasa haijamsumbua na inatumika kila siku kama tax,

Naomba mwenye kuelewa bei yake ikiwa mpya, lakin pia hata kama kuna mtu anayo ikiwa imetumika kidogo, japo kuna wanaosema kuwa imepitwa na wakati

naomba kuwasilisha!
 
ikiwa kwa maana ya yard bei huanzia mil 11-12 kutegemeana na condition ya hyo gari.
- kuagiza japan ina range kuanzia mil.9.5-11 kulingana na condition ya gari na exchange rate
- kwa mtu inategemea pia ina condition gani yaan imesajiliwa mwaka gani bongo(namba) na ina km's ngapi, ila kwa yenye hali nzur na namba kuanzia c na kuendelea basi bei inaanziaga mil 6.5 - 9
 
hapo kuagiza Japan hiyo mil.10-11 ni jumla gharama zote mpaka kulichukua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom