NATAFUTA TIV FLAT NCHI 32 NA KUENDELEA' ISIWE YA WIZI.

mafoleni

JF-Expert Member
Nov 18, 2016
220
371
Kichwa cha habari tayari kimejitosheleza nahitaj tiv flat screen kuanzia NCHI 32 NA kuendelea' isiwe ya wizi nataka tubadilishane matatizo'
Mwenye tatizo na pesa na mimi mwenye tatizo la tiv
 
Kichwa cha habari tayari kimejitosheleza nahitaj tiv flat screen kuanzia NCHI 32 NA kuendelea' isiwe ya wizi nataka tubadilishane matatizo'
Mwenye tatizo na pesa na mimi mwenye tatizo la tiv
Mkuu labda kama unataka tv ya bei ndogo au mangumashi, vinginevyo nenda dukani
 
Wakuu naomba nijue hiki kitu kinachoitwa TIV ni nini? Technology imeniacha nyuma au?

Mwenye kujua aniambie tafadhali atakuwa amenisaidia sana.
 
Mi nahitaji Tv inch65 iwe sumsung,Sony au Lg hata km ni ya wizi mi nanunua
 
Mbn mkuu hueleweki?Mara unatafuta TV INCHES 32 na Ku endelea...Mara umatafuta inches 65..na iwe Sony,,Samsung au LG...Au UNATUJAMBISHA mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom