Natafuta Time Management Software - Internet Cafe

Nsololi

JF-Expert Member
Mar 8, 2007
298
80
Ndugu wana JF,

Tafadhali nisaidieni namna ya kupata time management software kwa ajili ya kutumia kwenye Internet cafe.

Kwa mawasiliano zaidi: 0719427944.

Napatikana Dar.

Ahsanteni,
 
Ndugu Carthbert,

Mkuu nipe namba yako nikupigie kwa maelezo zaidi. Namba yangu ni 0719427944
 
Tembelea www.antamedia.com hiyo ndio poa kuliko zote kwa sasa iko kwenye chati ila kuna Time watcher business edition kwa kuanzia unaweza kutumia hiyo tembelea website yao unaweza kudownload bure
 
Tembelea www.antamedia.com hiyo ndio poa kuliko zote kwa sasa iko kwenye chati ila kuna Time watcher business edition kwa kuanzia unaweza kutumia hiyo tembelea website yao unaweza kudownload bure

nsololi, ushauri huu ni mzuri, kwangu natumia tiwa.

ukitaka kununua sawa, lakini kibongobongo kijasiriamali utapewa na washkaji bure tu. Nenda JF Store jaribu kutafuta, ukikosa kabisa bandika hili bango lako huko jf store utapatiwa hii kitu bure kabisa.
 
Mkuu Shy na Amoeba,

Nitafuatilia na nitawajulishe maendeleo.

Ahsante sana.
 
nsololi, ushauri huu ni mzuri, kwangu natumia tiwa.

ukitaka kununua sawa, lakini kibongobongo kijasiriamali utapewa na washkaji bure tu. Nenda JF Store jaribu kutafuta, ukikosa kabisa bandika hili bango lako huko jf store utapatiwa hii kitu bure kabisa.

Tatizo bongo wizi ni ujasiriamali.....

Piracy does not qualify to be entrepreneurship bro..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom