Huko ulipo google mkuu hukupata majibu
Habari zenu,
Natafuta tiba ya ugonjwa wa oral thrush (ramani kwenye ulimi) ambao umekaa muda mrefu bila tiba.
Ugonjwa huu ni kama kwenye picha hii niliyoambatanisha:
View attachment 1950243
Kama uko moshi nicheki nitakupatia hiyo dawa.
Kanunue FLUCONAZOLE.. vidonge 30. kimoja kwa kila cku...
Nitafute ikiwa haitakusaidia
Sawaa mkuuKiongozi kama umeisha tumia hizo sawa kama mouth wash, fluconazole, nystatin na inajirudia
Kuna virutubisho lishe(diaterysupplements) ambayo imachanganywa na herbs itakayomaliza tatizo lako
Kwa mawasiliano zaidi piga +255715059944 na pia utapata huduma za kitabibu bure(free consultation)
Una uhakika ????Mambo ya chumvini hayo acha kopiga deki utapata kansa ya koo au kinywa
This is not Oral thrush.! Hii ni Geographical tongue (Benign migratory glossitis)Habari zenu,
Natafuta tiba ya ugonjwa wa oral thrush (ramani kwenye ulimi) ambao umekaa muda mrefu bila tiba.
Ugonjwa huu ni kama kwenye picha hii niliyoambatanisha:
View attachment 1950243