Natafuta thread ya JPM kuhusu kutokushirikiana na wapinzani kwani anaamini hawaijui ilani ya CCM.

LAPTOP2016

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
728
2,140
Wakuu,
Nataka nijikumbushe siku yule mkuu wa mkoa/wilaya kama sikosei alipotumbuliwa wakati wa kwenda kuapishwa baada ya kugundulika ni wa chama pinzani na hotuba aliyotoa mkuu siku hiyo kuhusu kumtumbua huyo mpinzani.
 

Attachments

  • IMG-20170330-WA0041.jpg
    IMG-20170330-WA0041.jpg
    43.8 KB · Views: 21
Back
Top Bottom