Natafuta tender ya jiko kwenye Bar/Grocery/Restaurant

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
852
Natafuta tenda ya jiko
kwenye bar/grocery/restaurant ya
kuandaa vyakula kuanzia
supu, vyakula vya mchana na
uchomaji wa nyama, mkataba ni maelewano kuendana na sehemu yenyewe ilipo na flow ya wateja mahali ni popote jijini dar es salaam,
jamani kwa mwenye jiko na
anatafuta mtu ani PM.
NB: Nina uzoefu mkubwa sana kwenye sekta hii.
 
Back
Top Bottom