Natafuta tenda ya ujenzi au decorations

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau,

Nina kampuni ambayo inafanya kazi za ujenzi na decoration imesajiriwa kisheria kwa jina la Lumona Decorators and building Contractors tangu 2009 ikiwa na leseni ya class five (5).

Tunafanya ujenzi wa majengo ya aina yote hata nyumba ndogo ndogo, magodown, tailling dams, maghorofa, madaraja na barabara. Pia tunafanya marekebisho ya majengo yaliyochakaa na kubomoa majengo, ramani za majengo n.k.

Tushafanya projects nyingi za halmashauri na za kijamii mfano ujenzi wa nyumba za NSSF za bei nafuu mtoni Kijichi mwaka 2017 "Construction of affordable housing scheme phase III at Mtoni Kijichi in Temeke Municipality Lot No:10" na nyingine nyingi.

Ofisi zetu zipo mtaa wa Lumumba-Dar Es Salaam, ila hata mikoani kama una kazi ya ujenzi tunakuja.

MAWASILIANO: 0685389159
 
Hongera Sana mkuu. Umeweka full details
Screenshot_2020-07-06-10-04-13-55.jpeg
 
Zanzibar unaweza pia?
 
Imalisha ujenzi wako kwa kununua MABATI na VIGAE kwa ubora stahiq. Wasiliana na #SANGASU_HARDAWARE upate vifaa nya ujenzi kwa bei nafuu zaidi. utafikishiwa mzigo wako kwa uamanifu/usarama mkubwa
#SisiSioMadalali Fika kwenye Ofisi zetu
TUNAPATIKANA Buguruni chama Dar es salaam
 
Attachments

  • MABATI.jpg
    MABATI.jpg
    301.1 KB · Views: 1
Habari pole na majukumu,

Samahan sana kiongoz na shida Sana kama naweza kupata nafasi Ata ya kuwa kibarua kwenye
Kampuni yenu.

Mimi ni fundi bomba kitaaluma Lakin nipo tayari kufanyiwa kazi yoyote Ile inayo husiana na mambo ya ujenz

Asante

Baharij40@gmail.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom