Natafuta tenda ya kupamba na kudesign

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,327
2,000
Hay wanajf

Mimi ni mpambaji na mbunifu wa kutengeneza kadi mbalimbali ziwe za kipaimara, sendoff, harusi, na vilevile ni mpambaji (decoration) katika kumbi mbalimbali au sehemu yeyote ile kama utapenda ufanyiwe shughuli hiyo ya upambaji na nafanya printing katika Tshirt, caps, jags na vinyl hivyo kama utapenda kufanyiwa huduma hizi usisite kunitwangia hapa katika email hii email:nikprintgraphics@yahoo.com

Haya ni baadhi ya mambo ninayofanya:

: View attachment 73776
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom