Natafuta tenda ya kuchapisha na kusambaza mitihani kwenye mashule

May 30, 2015
31
3
Habari wadau wa jamii forum, natumain humu kuna walimu wa shule binafsi na selikali, nlikuwa natafuta tenda ya kupiga photocopy na kusambaza mitihani kwenye mashule mbalimbali kwa levo ya mssingi na sekondali.
Ofisi ipo dar es salam kitunda, kwa yoyote atakaehitaji tunaweza kuwasiliana kwa simu no 0718 423251.
NB.....
Kwa shule yoyote itakayohtaj tutakuletea popote ulipo ndani ya dar es salam
 
Ache I kuchezea Elimu unasambaza mitihani unauwezo gani Wa kuhakikisha usalama Wa mitihani? Kama NECTA bado wanachangamoto za usalama Wa mitihani sembuse mtu binafsi? Huna askari polisi Wa kusindikiza; wala Afisa usalama au nyie mnaangalia fedha tuu? Haijalishi ni testi au mtihani Wa muhula uzito wake kiulinzi na usalama ni sawasawa na mtihani Wa Necta. Ninaishauri serikali kuziwezesha shule kwa vifaa ili ziweze kuendesha mitihani katika halo ya usalama si kurudufisha mitihani kwenye stationary kama kweli tunahitaji Elim bora
 
sekondali gani wanakuamini wakati hata neno sekondari hujui kuandika
 
Mkuu,

sio mbaya ni kukosea tu kuandika na nadhani wenye nia wamenielewa nnachomaanisha. Samahanini kwa kukosea kuandika
 
Back
Top Bottom