Natafuta temporary work

AGAPE BOY

Senior Member
May 24, 2015
194
159
Mimi ni kijana wa miaka 20 nipo Ngudu-Mwanza, nimhitimu wa kidato cha sita (CBG) 2016, natafuta kazi ya muda (temporally work) ya kufanya kwa muda wa miezi mitatu yaani toka Juni-Septemba mwaka huu nikiwa nasubiri matokeo.

Kutokana na uelewa pamoja na uzoefu naweza kufundisha somo la Biologia kuanzia form one hadi form four, pia naweza kuuza duka, pamoja na kazi zingine halali na zenye malipo halali nje au ndani ya taaluma yangu.

Ukinihitaji mawasiliano ni kupitia email benjaminsamwel17@gmail.com au namba ya simu 0689773106
 
Umesikika kijana ngoja waje watakaoweza kukupa msaada ingawa ajira siku hizi ni ngumu sana kupatikana kibaya zaidi waajiri siku hizi wanataka watu wakufanya nao kazi kwa muda mrefu na sio tempo iyo unayotaka wewe.....Ila subiri watakuja
 
nyie ndio makanjanja wa elimu.eti unaweza kufundisha kidato cha sita wakat sio mwalimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom