natafuta tempo job

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
1,536
Likes
252
Points
180

OME123

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
1,536 252 180
naombeni ushauri / msaada mwenzenu, natafuta temporary job , niko mwanza , ni mhitimu chuo kikuu cha Dar es salaam nimesomea B.COM accounting
 

Brandon

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
336
Likes
3
Points
0

Brandon

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
336 3 0
Omunga,acha kumuumiza mwenzio. Gpa si kitu, i have a very very good gpa but cjapata kazi bado. Nmeamua kusoma master tu sasa.

Msikate tamaa, kazi mtapata tu bandugu.
 
Joined
Oct 28, 2010
Messages
94
Likes
1
Points
0

lauti

Member
Joined Oct 28, 2010
94 1 0
Omunga gpa c ki2,ki2 network!kuna dogo 2memaliza nae,ana 2.3 kaunganishiwa crdb ya udsm,wachache wenye gpa wamepata,ucpanic 2tapata 2,ila geuza sura na upande wa ujasiriamali bra!
 

Buswelu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Messages
2,002
Likes
63
Points
145

Buswelu

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2007
2,002 63 145
Dah kazi ngumu this days....Kuna mwingine yuko ukui ameamua kuwa security...tena wa kwenye post za mitaroni.....na B.COM mkononi...toka amamemaliza alikuwa anasoma akiwa polisi...jeshi halijampandisha wala kumtambua...jamani..sytems hizi.
Unakujata boss wako ni f4 tu sasa wewe una B.COM..utapita wapi....duuu...
 

Forum statistics

Threads 1,203,212
Members 456,663
Posts 28,104,828