Natafuta Suzuki Escudo,5D | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Suzuki Escudo,5D

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Rugas, May 10, 2010.

 1. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,054
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wakuu habari za kazi,
  Kuna ndugu yangu anatafuta gari ya kununua,Suzuki Escudo 5d,Ataitumia kijijini,(hali ya barabara sio nzuri sana) ,Kwa hali hiyo anataka iwe na hali nzuri,isiwe imetembea zaidi ya km 120,000...na isiwe imetumika nchini zaidi ya miaka mitatu.Mwenye dili hili tuwasiliane...kwa email frugas78@gmail.com ,picha na details ni muhimu.
  Bei isizidi 7.5m
  Thanks.
   
 2. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tembelea hapa kwa ku click www.magaribeipoa.com utapata gari ulikuwa unahitajia au tafuta Escudo nomade inauzwa hapa hapa kwa hii chemba ya matangazo utaona
  :llama:
   
 3. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,690
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Escudo huwezi pata kwa 7.5m, may be kama utanatafuta used TZ. Kuna rafiki yangu anauza yake kwa 6.5m kaitumia miaka 3 Km ni 110.
  Kama unataka Mpya (used Japan) si chini ya 9m mzee Mwambie jamaa aongeze pesa. nakurushia email
   
 4. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mimi ninayo kama umeshindwa tembelea www.magaribeipoa.com Nauza 13M mpya kam upo seriously ila kwa bei uliyoitaja utapata gari hata miezi sita hulifikishi(kimeo) tena usithubutu hata kidogo kuninua kwa bei yako. Nunua kwa 13M mpaka 11M hiyo utapata gari nzuri haina mwaka, Ukitaka kwa bei 10M mpaka 8M utapata gari ya miaka miwili kutumia Bongo(Ambayo ni kimeo) na 7M mpaka 5M utapata kari ya miaka Mitatu kutumika bongo ambayo hufikishi miezi sita unashusha Engine na Ukitaka la 4M mpaka laki moja utapata gari la mwezi mmoja bora umenunua gari unaendasha mnwezi ukiisha ulipaki ujua ndo kwishne. USHAURI Nunu gari la 13M mpaka 11M utapata gari nzuri wewe mwenyewe utafurahi sana kuhusu choice yako ya gari. Asante Mwana JF:target:
   
 5. Glucky

  Glucky Senior Member

  #5
  May 11, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 121
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  man kama upo serious contact me on 0784296443.
   
 6. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,054
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Asante kwa ushauri mkuu...Hiyo gari ni ya ndugu yangu...nitamfikishia ujumbe.....kuna mtu ametuletea Mitshubishi GDI,ina mwezi mmoja Bongo,na imesajiliwa,ina bima(sio comphensive) imetembea 80,000km ya 1997...na anataka 8M,naona ina size ya Escudo,lakini kwa uimara na mengine sijuhi...unatushaurije mkuu...
   
 7. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,054
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Vp akiongeza mpaka 9M unaweza kusaidia kupata,one from Japan?
   
 8. Glucky

  Glucky Senior Member

  #8
  May 11, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 121
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  for 9.m u will get
   
 9. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  Nakushauri usinunue kwani inamtingo wa kuunguza Gasget no UTALIA USINUNUE KWANINI ANAUZA BEI HIYO WAKATI JAPANI NI DOLA 4500 MPAKA BONGO HUJAISAJILI WEWE FIKIRIA KWANZA RAHISI GHALI :angry:
   
 10. Prisoner

  Prisoner Senior Member

  #10
  May 12, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ninayo tena nzuri utaipenda Bei 11M haishuki ni mpya ina miezi sita tokea iwe bongo mshkaji anaitumia. nipe namba nikukwangie sawa Rugas
   
 11. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #11
  May 13, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,054
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Poa mkuu,i will take that in consideration....Thanks
   
 12. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #12
  May 13, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,054
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu bei hiyo inatisha...sidhani km mshikaj ataweza kupata hiyo amount....
  let us think on it...
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  May 13, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Vp mkuu bado hujapata?
  Mwambie akusanye kusanye anunue mpya tu.
   
 14. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #14
  May 13, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  Unataka nini RUGAS kwani Jamaa kafika hiyo mwambie best yako achukue kwani mimi Nakushauri Prisoner mimi namjua aleti utani kwa mambo ya biashara. ok HIYO ICHUKUE FASTER MWAMBIE HATA 10.5M :yuck:
   
 15. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #15
  May 13, 2010
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,587
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kwa nini usigize Japan? mambo mengine ni very simple waka huhitaji kuanza kubagain na mtu.

  Agiza mwenyewe fanya mahesabu mpaka kuitoa bandarini, na makorokoro mengine. Usisahau kupiga hesabu ya kuitoa huku dar mpaka huko kijijini. Unaweza ona 7.5 ni nyingi kumbe kwa kitu unachotaka ni kidogo sana.

  Enjoy!
   
 16. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #16
  May 13, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Uwe makinina hao wanaotaka kukuuzia. Wengi ni matapeli sana. Kusanya mshiko zaidi kidogo utapata kutoka japani
   
 17. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #17
  May 13, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Au endelea kuuliza na utafute mtaalamu ili mtu akikuita ukatazame gari analotaka kukuuzia lipoje? Lipo katika hali gani usije kuchukua kimeo. Kuna watu wanayapaka rangi siku hizi.
   
 18. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #18
  May 13, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,712
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ninalo Escudo 1.6, imetembea Km 128,000, Manual, Model ya 1993. Nimeiagiza kutoka Japan mwaka 2008 Novemba. Bei ni 9.5 M, lina hali nzuri na nimewahi kusafiri nalo safari za mbali mara mbili; Arusha- Ngara, Arusha Kigoma (zote kwenda na kurudi bila kuongeza oil wala maji). Halijawahi kufanyiwa matengenezo makubwa yoyote ila service za kawaida na kubadilisha shock ups.
   
 19. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #19
  May 14, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  chakua sasa pa kufia nimekwambia Prisoner haleti utani kwenye Biashara unataka kukimbia usikimbie bei nenda kalione hata Mimi nilishakwambia ninayo. sasa RUGAS Chakua Pa kufia kwa Prisoner hapo umepata
   
 20. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #20
  May 17, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,054
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  thanks mkuu kwa ushauri mzuri.Ndo naangalia uwezo huo....tatizo sasa hivi dola inapaa km ndege...inafanya importation iwe ghali kidogo.hata hivyo bado naendelea kutafuta.Hatuna haraka sana.Taratibu najua kwa msaada wa Mungu tutapata kitu kizuri.
   
Loading...