Natafuta supplier wa Samaki toka Mwanza - Ziwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta supplier wa Samaki toka Mwanza - Ziwani

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Goodsize, Jan 20, 2012.

 1. G

  Goodsize Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama kuna mtua ana-supply samaki wa ziwani - Mwanza au unamfahamu mmoja, tafadhali naomba tuwasiliane au nitumie contact zake. Natanguliza shukrani.
  Ahsante
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Goodsize

  naomba tushauriane hapa pia pamoja na wadau wengine

  hivi nikinunua refrigirated truck (scania freezer body) yenye uwezo wa kubeba uzito wa tani 15 nikaanzisha biashara ya transportation ya samaki kutoka mwanza inaweza kuwa na faida

  muhimu hapa ni kwamba mzigo wa samaki utafika siku hiyo hiyo na pia samaki watafika katika hali ya ubaridi unaotakiwa, hivyo wale suppliers wote wa samaki nitakuwa nawapakilia samaki zao kutoka mwanza na mikoa mingine (eg.singida dodoma,morogoro etc),

  changamoto kubwa hapa ni hii, je truck itapakia mzigo gani kwenda mwanza kwani kwenda tupu ni gharama za bure, kumbuka hii body ni refrigirated
   
 3. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu LAT kuna 93/250 freezer body LHD 6x2, inauzwa Eur 5000 na kuisafirisha itakuwa around humo humo, sijakupandishia bei sababu kuna vitu naweza kudandia kupakia.
  hiyo biashara inaweza ikawa inalipa na siyo samaki tu unaweza kupakia hata maziwa ya tanga fresh,kutoa kule kuleta Dar
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu Zion Train, i like it, very fast and impressive

  tani ngapi? huwezipata RHD

  where is it located?

  unaweza weka picha mkuu so that nikapata uhalisia, its a serious issue
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  wasiliana na 0764877349
   
 6. l

  lonini Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ninaweza kusupply kutoka musoma.na sio mwanza.
   
 7. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Si lazima uwashe freezer kurudi Mwanza kwa hiyo unaweza kupakia light weighted goods kama vitu vya madukani. Wasi wasi wangu haya magari mtumba hayakawii kuzimika sasa hizo tani 15 za samaki (sawa na samaki 30,000 times shs 2,000!)
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  yes i agree with you,hii ni changamoto pia, to the other side proper automobile service and ontime emergency call should be in place!!

  mkuu bei ya samaki especially sato ni TZS 5,000 or so per kg,

  naweza kuwa na mizani pale mwanza kwa ajili ya kupimia fish loads, kutakuwa na plastic cans za uwezo wa 100kg each, but all fish foods should be packed on plastic bags /viroba then stored on cans and then loaded on the truck

  kila kilo moja nita-charge tsh 200 as transportation charge (tsh 200 per kg), loading and unloading will be inclusive
   
 9. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Ooops Tshs 5,000 X Samaki 15,000 = Tshs 75,000,000 sio mchezo
   
 10. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Scania93 1.JPG Scania93 2.JPG Scania93 3.JPG Scania93 4.JPG Scania93 5.JPG

  Mkuu LAT ya RHD kupata scania kwa bei hiyo issue, hiyo ya Poland
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
 12. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
 13. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  exactly, hii ni tani ngapi mkuu, in tanzania tax will only be VAT 18% and port chargez

  i think this can be something to react soon

  @ Zion Train nimekusoma mkuu, ideally kwa biashara hii inahitaji usiwe bahiri wa kutafuta truck ya bei ya chini kwani unahitaji truck iliyo kwenye very good condition ili hata wateja wakiiona wanajua mizigo yao itafia bila usumbufu
   
 15. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Hii inabeba mpaka 20,000kgs
   
 16. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu ukinunua usinisahau tu ukaiacha ije tupu, kuna kitu naweza pakia. tunabebana mkuu hahahaha
   
 17. L

  LAT JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hii inafaa sana mkuu, let me check on Return on Investment (ROI)

  hapa nina maswali machache yanayohitaji real experiece on the ground

  je? kwa bei ya Tsh 200 per kg, wateja watamudu compared to usafiri mwingine wa mafuso
  je? supply ya samaki wa mwanza ni approximate tani ngapi kwa wiki let say mkoa wa DSM na Morogoro
  je? wateja haswa wanaosafirisha ni nani, suppliers wa samaki walio mwanza au wholesalers wa samaki waliopo dar au mwanza

  hapa nitaweza kuhakikisha kuwa hii biashara itapata wateja, costs zingine up to profit margin i am very confortable if transportation charge remains Tsh 200 per kg
   
 18. L

  LAT JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  tupo pamoja mkuu, usihofu kabisa ... upo kipande ipi mkuu?

  let me work out eerything in deep details .... hopefully it will work
   
 19. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160

  Inakubidi uwe na cold room ya kuweza kuhifadhi hizo 20,000kgs hapa Dar au hakikisha una upgrade FRIGOREX ya gari iweze kuungwa kwenye umeme. Gari likifika Dar unalizima unaunga kwenye umeme. Kisha hakikisha unazo delivery points au HAKIKISHA unapata orders kwanza kutoka kwa retailers. Utatoka......am eyeing this angle so badly....nilinunua semi naona hazilipi kesi na madereva haziishi
   
 20. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu naomba darasa hapo kwenye semi maana nipo mbioni kutokana na maelezo ya watu huko, nisije nikaingia kichwa kichwa

   
Loading...