Natafuta supplier wa kuku wa kisasa

Natafuta mfugaji wa kuku wa kisasa ambaye tutafanya biashara. Nahitaji kuku kwa wingi! Mwenye nao tafadhali tuwasiliane.

Location awe Dar es Salaam!
Mkuu tangazo lako halijakamilika, sema utakuwa unahitaji kuku wangapi kwa kipindi gani na offer yako ya bei kwa kuku mmoja unatoa sh ngapi
 
Kwa siku unauwezo wa kununua wangapi?

Sifa za hao kuku ziweje,,, nikimaanisha uzito.

Unawafata mwenyewe au uletewe,,,

Jibu nikupatiemo number
 
Natafuta mfugaji wa kuku wa kisasa ambaye tutafanya biashara. Nahitaji kuku kwa wingi! Mwenye nao tafadhali tuwasiliane.

Location awe Dar es Salaam!

Capacity: 500 pcs per week

Uzito: 1+KG

Bei elekezi: 5,500-5,800
Nichek pm mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom