Natafuta studio lights kit kwa udi na uvumba

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
wakuu heshima ziwafikie popote mlipo, nahitaji msaada tajwa hapo juu....wapi naweza pata studio lights kit nzuri? nielekezeni mkuu hata kama mnayo pia mnaweza nipatia taarifa

iwe na miamvuli miliwi/ mitatu

stand zake

flash detector

background stand + muslin --optional

pia nahitaji ushauri wa nyie mapro, kwa chumba chenye ukubwa wa 3*3 taa za watts ngapi zinafaa???
 
Angalia eBay (UK ), ukizipata unazozihitaji niletee PM. Nitakuletea kwa bei utakayoiona hapo.
 
wakuu heshima ziwafikie popote mlipo, nahitaji msaada tajwa hapo juu....wapi naweza pata studio lights kit nzuri? nielekezeni mkuu hata kama mnayo pia mnaweza nipatia taarifa

iwe na miamvuli miliwi/ mitatu

stand zake

flash detector

background stand + muslin --optional

pia nahitaji ushauri wa nyie mapro, kwa chumba chenye ukubwa wa 3*3 taa za watts ngapi zinafaa???

mkuu tutumie list ya unavyovihitaji kwenye E MAIL: sales@godfreyelectronics.com
then tutakutumia bei yake kwa kila kimoja
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom