yah soko lipo kubwa sana ila subiri mfungo uisheNasikia nyama ya nguruwe ina bei nzuri sana Zanzibar na Oman.
Naomba mwenye clues zaidi aweke hapa hasa maeneo masoko yalipo.
Unamuita kafiri wakati huu wa mfungo kitimoto kimedoda?Kafir mkubwa wewe
yaah ni kweli zanzibar mdudu huyo ana bei nzuri sana kutokana na mazingira ya kule mara ya mwisho kuwa huko 1 year kilo moja ilikuwa 15,000tsh.Nasikia nyama ya nguruwe ina bei nzuri sana Zanzibar na Oman.
Naomba mwenye clues zaidi aweke hapa hasa maeneo masoko yalipo.
🤣🤣🤣🤣 Acha utaniUnamuita kafiri wakati huu wa mfungo kitimoto kimedoda?
Naiona kama ni maada chonganishi vile!?Nasikia nyama ya nguruwe ina bei nzuri sana Zanzibar na Oman.
Naomba mwenye clues zaidi aweke hapa hasa maeneo masoko yalipo.
Hoteli za Waitalianoyaah ni kweli zanzibar mdudu huyo ana bei nzuri sana kutokana na mazingira ya kule mara ya mwisho kuwa huko 1 year kilo moja ilikuwa 15,000tsh.
Ila anapatika kwenye mahotel ya kitalii sanasana na bei ni kubwa zaidi kwenye hizo hoteli .
mm nilimkuta kwenye restaurant za kanisa wanauza.
Halafu eneo zuri kibiashara uwe jirani kabisa na msikiti
Utapiga pesa ndefu sana
Kale na wanao hiyo haramNasikia nyama ya nguruwe ina bei nzuri sana Zanzibar na Oman.
Naomba mwenye clues zaidi aweke hapa hasa maeneo masoko yalipo.
Kafir kwenye ubora wakeWaislam tunaojitambua tunamuhusudu sana mfalme wa mezani, kama watu wanakula hawafi wala kupatwa na madhara kwanini nijinyime mie? Ndiyo maana sipendi hizi dini za hovyo, wanatudanganya sana.
Kafir kwenye ubora wake
Umemjibu kwa hikma ambayo hakuitegemea.yaah ni kweli zanzibar mdudu huyo ana bei nzuri sana kutokana na mazingira ya kule mara ya mwisho kuwa huko 1 year kilo moja ilikuwa 15,000tsh.
Ila anapatika kwenye mahotel ya kitalii sanasana na bei ni kubwa zaidi kwenye hizo hoteli .
mm nilimkuta kwenye restaurant za kanisa wanauza.
Basi hujaelewa maana ya kafiri kafir ni neno la kiarabu ambalo linatokana na neno kufru katika uislm MTU asie amin huitwa kafiri kwa kiswahili mpingaji sijui kama umenielewaSiitwi kafir, nina jina langu...niulize nikuambie. Kwangu mimi kafir ni mjinga asiyejitambua na anayeamini dini za watu bila kujuwa ukweli na undani wake.
Kula nguruwe na kuamini shahada ni vitu viwili tofauti mzee baba.Basi hujaelewa maana ya kafiri kafir ni neno la kiarabu ambalo linatokana na neno kufru katika uislm MTU asie amin huitwa kafiri kwa kiswahili mpingaji sijui kama umenielewa
Basi hujaelewa maana ya kafiri kafir ni neno la kiarabu ambalo linatokana na neno kufru katika uislm MTU asie amin huitwa kafiri kwa kiswahili mpingaji sijui kama umenielewa
Kwani wewe ni muislam na kama sio muislam Basi wewe kafiri na wewe ni mpingaji kwa sababu nguruwe ni haram na wewe unahalalishaAs
asie amini nini?
Na anaepinga nini ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kafir mkubwa wewe