Natafuta soko la kiti moto Zanzibar

Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar..

pakistan-bomb-blast.jpg
 
Nasikia nyama ya nguruwe ina bei nzuri sana Zanzibar na Oman.

Naomba mwenye clues zaidi aweke hapa hasa maeneo masoko yalipo.
yaah ni kweli zanzibar mdudu huyo ana bei nzuri sana kutokana na mazingira ya kule mara ya mwisho kuwa huko 1 year kilo moja ilikuwa 15,000tsh.

Ila anapatika kwenye mahotel ya kitalii sanasana na bei ni kubwa zaidi kwenye hizo hoteli .
mm nilimkuta kwenye restaurant za kanisa wanauza.
 
Hoteli za Waitaliano
 
Umemjibu kwa hikma ambayo hakuitegemea.
 
Siitwi kafir, nina jina langu...niulize nikuambie. Kwangu mimi kafir ni mjinga asiyejitambua na anayeamini dini za watu bila kujuwa ukweli na undani wake.
Basi hujaelewa maana ya kafiri kafir ni neno la kiarabu ambalo linatokana na neno kufru katika uislm MTU asie amin huitwa kafiri kwa kiswahili mpingaji sijui kama umenielewa
 
Kula nguruwe na kuamini shahada ni vitu viwili tofauti mzee baba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom