Natafuta soccer school nzuri kwa mtoto wangu iwe Spain,Ufaransa,Italy or South America | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta soccer school nzuri kwa mtoto wangu iwe Spain,Ufaransa,Italy or South America

Discussion in 'Sports' started by Upanga, Nov 18, 2011.

 1. U

  Upanga Senior Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 135
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ndugu wapendwa! Salaam.Naomba msaada kwa wale wenye kufahamu shule nzuri za kufundisha watoto mpira wa miguu (Football) kwa watoto.

  Nina mtoto wa miaka mitano wa kiume ambaye naona ana kipaji kinachojitokeza kwenye mambo ya soccer.Nimeamua kumuendeleza kwa kumtafutia shule ya mpira wa miguuu huko nje.

  Kama kuna mdau anafahamu lolote kuhusu na jinsi ya kujiunga naomba anisaidie.
   
 2. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 867
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  Nadhani hili sio jukwaa lake kwa hayo mambo..watakushambulia sana hapa, 'JUKWAA LA SIASA'
   
 3. U

  Upanga Senior Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 135
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Alalalalalah!!!!!!nashukuru kwa kunistua ila kwa anayeweza nisaidie na anisaidie next time haitojirudia.
   
 4. N

  N series Senior Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  muulize m.kwere coz anatembelea sna abroad,
  Hta hvo,umekosea mlango,hapa sio mahala pake na hata msaada huwezi pata manake utakua unachanganya chai na kachumbari,cha msingi na ushauri,rudi kwenye jukwaa husika la michezo
   
 5. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Peleka jukwaa la michezo utasaidiwa, humu tunajadili magambaz, watetea haki za nchi hii na mustabadhi wa nchi yetu
   
 6. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  1.Hili si jukwaa husika
  ii.Wasiliana na Rais wa magamba a.k.a MZEE wa Cameroun kwan ndiye anasafiri kutafuta makocha
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  katoto ka miaka mitano mbona kadogo sana jamani
  si watakacameroon tu hako.
   
 8. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mpeleke La Masia pale Barcelona Spain
   
 9. U

  Upanga Senior Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 135
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kama ningepata contact zao itakuwa vizuri kama unzo Mupicini!!nitajaribu ku-google hata hivyo nikutoe shaka Mamndenyi hapa nafuatilia kwa maandalizi kama kwenda nitakapojuwa intake inaanza na umri gani ndipo atakwenda jiunga!!!!
   
 10. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ninakubaliana nawe Mkuu. Wachezaji wengi wa Spain na wa nje ya Spain wamepikwa pale La Masia wakiwemo Messi, Pujol, Fabregas n.k. Vile vile Real Madrid wanayo shule nzuri.
  Wasiwasi wangu kwanza ni kwa umri wa mtoto wako kwani kwa haraka haraka nimeona wanachukua watoto wa kuanzia miaka 10. Pili, baadhi ya Football Academy wanachukua watoto kwa Summer Camps tu. Hata hivyo, angalia site hii kwa maelezo zaidi:
  International Summer Football FĂștbol Soccer Camps Academy and Schools in England Spain Italy France
  Ushauri wangu, mpeleke mtoto wako katika nchi utakayoichagua ili aweze kujifunza lugha ya nchi hiyo (bila ya shaka kupata elimu yake huko, hata umri wa kuanza mafunzo ya soka ukifika, ajiunge akiwa naelewa lugha.
   
 11. Android

  Android JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2014
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 867
  Likes Received: 960
  Trophy Points: 180
  hii ni kulenga fyucha ya mwanao, embu ngoja na mimi nijaribu kutafuta sprots academy nzuri kwa mwanangu.
   
 12. m

  mdaujr Member

  #12
  Jan 28, 2014
  Joined: Aug 5, 2013
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza unatakiwa kujua taratibu zake ulaya academy nyingi hazichukui mtoto ambaye hasomi pia kuna suala la lugha pia
   
 13. M

  Mzalendo_Mkweli JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2014
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 719
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Hilo ni angalizo zuri ILA nadhani wenzetu wako makini kwa usalama wa watoto.
   
 14. m

  mdaujr Member

  #14
  Jan 28, 2014
  Joined: Aug 5, 2013
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Azam chamazi si ipo
   
 15. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2014
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Azam chamanzi napo ni nje?
   
 16. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2014
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,480
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Msamehe bure, hakuelewa swali.
   
 17. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2014
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mpeleke mtoto kindergarten akacheze na wenzake kwanza!
   
 18. Chizi Maarifa

  Chizi Maarifa JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2014
  Joined: Jul 29, 2013
  Messages: 1,427
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  kutaka sifa za kijinga.
   
 19. iverson95

  iverson95 Member

  #19
  Feb 3, 2014
  Joined: Oct 12, 2013
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ajax academy
   
 20. Frank Wanjiru

  Frank Wanjiru JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2014
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 5,512
  Likes Received: 5,132
  Trophy Points: 280
  Duh kweli watu hatulingani,yaani wengine huo Mlo wa siku tuu taabu sembuse hiyo ada/michango ya Shule zetu za wakina St Kayumba taabu,mtu anaweza na kupanga visivyowezekana kwa Wabongo wengi. Shikamoo Pesa......
   
Loading...