Natafuta smartphones ya maana.

Good,ila nipo serious so kama unayo we can talk lakin bei daaah. So ni tofauti na galaxy grand coz nilickia hazina utofauti na galaxy grand kwa bei
 
Kama upo dar nenda agrey pale ndo hong kong ndog ya bongo pale hukosi ila angalia wasije wakakuingiza cha kike
 
Back
Top Bottom