haidary hassan
Member
- Mar 9, 2014
- 69
- 5
Waungwana,wana matelephone mi natafuta simu aina ya nokia lumia 1520 au samsung galaxy grand au hata tecno phantom nahiitaji, ila hasa hasa mwenye nokia lumia 1520 atatisha kinoma!mwenye nayo anicheki kupitia email yangu hapo chini but kwanza tujuzane bei ya cm mojawapo kati ya hizo.Haidaryhassan19@gmail.com or haidaryhassan19@yahoo.com