Natafuta smart TV TCL inch 55

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,206
2,000
Nazo ni smart?
Mkuu ninachomaanisha hapa ni kwamba tv ya inchi 55 ya mwaka 1990 ni tofauti kabisa na TV ya inchi 55 ya mwaka 2015 au ya mwaka 2021.Unaponunua TV ni lazima useme kuwa unataka techs gani,tofauti na hapo utaishia kuuziwa makopo.
 
MC44

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
2,078

Huyu bwana hajawaza hayo.
Na anajua aksema smart atapewa latest
Ni kama mtu anaenda kununua smartphone sidhani kama akipewa Samsung ya 2010 atakubali
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,206
2,000
Nawewe unachukua muda kuelewa, yaan katika maelezo umeona inch 55 tu, nimesema iwe smart TV pia

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Smart TV zipo za aina nyingi.Zipo za QLED,OLED,LED,LCD,DLP,Direct TV na Plasma.Pia zipo za resolution tofauti tofauti kama vile 8K,4K,1080P,720P,480P.Kwa hiyo kusema tu kwamba unataka iwe ni smart TV haitoshi.
 
PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Aug 9, 2020
202
500

Ok, naomba nielimishe basi mfano nikienda dukan nichague ya aina gani kati ya hizo OLED ulizomentiont, resolution gan ndo bora. Ila iwe TCL

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,206
2,000
Ok, naomba nielimishe basi mfano nikienda dukan nichague ya aina gani kati ya hizo OLED ulizomentiont, resolution gan ndo bora. Ila iwe TCL

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ubora wa TV unapimwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni:

A.Screen techs, ambapo kuna:

1.QLED:Quantum Light Emmiting Diode

2.OLED:Organic Light Emmiting Diode

3.LED:Light Emmiting Diode

4.LCD:Liquid Crystal Display

5.DLP: Digital Light Processing

6.Plasma panels

7.DTV: Direct TV

Jinsi unavyoshuka chini kutoka namba moja kuja namba saba ndivyo ubora wa TV unavyopungua.

B.Resolution,ambapo kuna resolution tano:

1.8K

2.4K

3.1080p

4.720P

5.480P

Kadri unavyoshuka kutoka namba moja kuja namba tano ndivyo ubora wa TV unavyopungua.

Hii maana yake ni kwamba unaponunua TV hakikisha kuwa upo angalao kwenye tatu bora ya hivyo vitu viwili hapo juu.

C:Tech nyinginezo

Kuna tech nyinginezo muhimu sana za kuangalia kama vile HDR na Dolby.TV zenye HDR na Dolby ni TV bora sana.Unaponunua TV yako angalia pia kama ina tech hizi mbili.
 
PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Aug 9, 2020
202
500
Ubora wa TV unapimwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni:

A.Screen techs, ambapo kuna:

1.QLED:Quantum light emmiting diode

2.OLED:Organic light emmiting diode

3.LED TV

4.LCD:Liquid Crystal Display

4.DLP: Digital light processing

5.Plasma panels

6.DTV: Direct TV

Jinsi unavyoshuka chini kutoka namba moja kuja namba sita ndivyo ubora wa TV unavyopungua.

Shukran sana kwa ushauri ulio bora kabisa

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
thegreatchief

Member
Oct 19, 2012
62
125
Smart TV zipo za aina nyingi.Zipo za QLED,OLED,LED,LCD,DLP,Direct TV na Plasma.Pia zipo za resolution tofauti tofauti kama vile 8K,4K,1080P,720P,480P.Kwa hiyo kusema tu kwamba unataka iwe ni smart TV haitoshi.
Kwa vigezo hivyo inahitaji mtaalamu. Ila hii ndio raha ya jf tunajifunza mengi
 
Ghiti Milimo

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
2,992
2,000
Ubora wa TV unapimwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni:

A.Screen techs, ambapo kuna:

1.QLED:Quantum light emmiting diode

2.OLED:Organic light emmiting diode

3.LED TV

4.LCD:Liquid Crystal Display

4.DLP: Digital light processing

5.Plasma panels

6.DTV: Direct TV

Jinsi unavyoshuka chini kutoka namba moja kuja namba sita ndivyo ubora wa TV unavyopungua.

B.Resolution,ambapo kuna resolution tano:

1.8K

2.4K

3.1080p

4.720P

5.480P

Kadri unavyoshuka kutoka namba moja kuja namba tano ndivyo ubora wa TV unavyopungua.

Hii maana yake ni kwamba unaponunua TV hakikisha kuwa upo angalao kwenye tatu bora ya hivyo vitu viwili hapo juu.

C:Tech nyinginezo

Kuna tech nyinginezo muhimu sana za kuangalia kama vile HDR na Dolby.TV zenye HDR na Dolby ni TV bora sana.Unaponunua TV yako angalia pia kama ina tech hizi mbili.
Mmmmmmm! Kumbe wengi hatujui kitu! Unamwambia muuzaji aiwashe ,ikiwaka na kuonyesha picha vizuri, unaridhika, na kutoa fedha.
Kumbe tusiojua, tukitaka kununua, kuna haja ya kuomba msaada kwa wajuzi wanaojua mambo hayo kama wewe mkuu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom