Natafuta simu used!

ngosha2011

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
681
87
Natafuta simu used yoyote ambayo kwenye mambo ya internet iwe safi,bei iwe ya kitanzania,yoyote anijulishe
 
ipo hapa samsung orginal, line mbili kila kitu kipo ndani bei ni laki nne na nusu.
 
ipo motorola Q9h smartphone ina windows mobile 6, Mcafee, opera etc jst for a cool 200000
call 0767435430
 
Used Phones (Grade A Quality):

Blackberry Torch - $360
Sony Vivaz pro - $130
HTC - $130
Samsung Corby - $130
Nokia E71 - $130
Samsung T746 - $130
HTC Magic - $140

Zote zimefunguliwa na zote ni mint condition. From Canada.

Zipo na Blackberry na Iphone 4 Brand new na used lap tops.

Kama upo interested ni PM.
 
Ngoja ntawapm wote ambao nimevutiwa na bei zao,na chanzo cha kutafuta used ni bei
 
ipo motorola Q9h smartphone ina windows mobile 6, Mcafee, opera etc jst for a cool 200000
call 0767435430

Oi am hotly ineed wit Q9h cz yangu imeibiwa... haijachoka? Cz housing yake haipatkan
 
nokia nokia n97 300,000
nokia e63 200,000
nokia e72 250.000
blackbery curve 250,000

kama kuna utakayopenda ni PM tafadhali
 
Natafuta simu used yoyote ambayo kwenye mambo ya internet iwe safi,bei iwe ya kitanzania,yoyote anijulishe

Zipo hapa NOKIA N70,N72 Tsh. 180,000/=na MEMORY CARD YA 3 GB zipo ktk hali nzuri. Pia zipo NOKIA 3220-Tsh.50,000/=Full internet
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom