E edward snowdern Senior Member Nov 30, 2013 138 55 Dec 2, 2013 #1 tecno p5 mwenye kuweza kuipata anpm hapa na bei pia ahsante
A Aleyn JF-Expert Member Nov 12, 2011 19,198 32,352 Dec 2, 2013 #2 Hizi Tecno zimetokewa kupendwa na Watanzania siku hizi.
J jacben90 Member Jul 29, 2013 58 20 Dec 2, 2013 #3 Zipo kariakoo za kutosha na ni za ukwel balaaa na ndo hii natumia hapa ni noumaaa sanaa
E edward snowdern Senior Member Nov 30, 2013 138 55 Dec 2, 2013 Thread starter #4 jacben90 said: Zipo kariakoo za kutosha na ni za ukwel balaaa na ndo hii natumia hapa ni noumaaa sanaa Click to expand... bei gani mkuu plz
jacben90 said: Zipo kariakoo za kutosha na ni za ukwel balaaa na ndo hii natumia hapa ni noumaaa sanaa Click to expand... bei gani mkuu plz
chaUkucha JF-Expert Member May 28, 2012 3,382 1,208 Dec 2, 2013 #5 simu ya kichina ukiiwasha inazima!
Criss JF-Expert Member Mar 19, 2011 858 252 Dec 2, 2013 #6 Chaukucha said: simu ya kichina ukiiwasha inazima! Click to expand... Ndege ikipita angani inakuandikia missed call ....lol. (hebu mcheck huyu mshkaji hapa mnaweza kwenda sawa 0767540212)
Chaukucha said: simu ya kichina ukiiwasha inazima! Click to expand... Ndege ikipita angani inakuandikia missed call ....lol. (hebu mcheck huyu mshkaji hapa mnaweza kwenda sawa 0767540212)