Natafuta shule ya wasichana O'level

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,315
7,731
Habari zenu wanaJF,
Jamani, nina mdogo wangu wa kike, nataka arisiti mtihani wa form four mwakani.
Naomba mnisaidie shule nzuri ya wanawake ya bweni ambayo ada yake haizidi Milioni moja.
Tafadhali kwa yeyote ambaye anajua please.
 
Kizuri gharama.....kiukweli swala la kureset sio fashion kabisa inabidi uangalie spirit ya dogo ya kusoma ukiona kanyanga bora aende certificate CBE or IFM,Maana kurudia kama mtu ajitambui basi matokeo ni yaleyale tu...div 0.
 
Mkuu me dogo sijui alizingua nini, but kiasi anajiweza kiakili lakini cha kushangaza alitoka na hiyo div0 kitu ambacho sidhani kama anaweza kukubaliwa kwa any chuo.
 
Mkuu me dogo sijui alizingua nini, but kiasi anajiweza kiakili lakini cha kushangaza alitoka na hiyo div0 kitu ambacho sidhani kama anaweza kukubaliwa kwa any chuo.

shule za ku-reset ni kama makongo,pale wanaitwa pre form v na mtu akiwa serious anatoka maana swala la mwanafunzi kufaulu kwa wanafunz wa kileo ni jitihada binafsi I mean uwezo wa kumanage mda wa masomo na mambo mengne ya kimaisha.
 
Peleka tution centers kama amejirudi na anataka kusoma hata nyumbani atasoma tu lakini kama unataka akafundishwe kukata mauno na wenzake wa kike basi mpeleke huko bweni.
 
kama kweli yuko serious aende pale makongo secondary,wengi ninaowajua ambao walikuwa wanarisit wamefanikiwa kuzipata ila kama hayuko serious asiende kabisa.
 
Back
Top Bottom