Mtulivujohn
Member
- Nov 2, 2018
- 43
- 17
Wadau kwanza nawasalimu kwa upendo wa mungu nina matumaini wazima wa Afya.
Bila shaka Nina matumaini apa nko mahali sahihi ya watu wenye uelewa tofauti tofauti ila nina imani nikikutanisha mawazo yao nitapata wazo la kuifanyia kazi
Ninaombeni kwa mwenye uelewa Kama kichwa kinavyojieleza Mimi nina mdogo wangu amemaliza shoule ya msingi na nataka nimtafutie shule za Sekondari za bweni nje ya Arusha iwe Kilimanjaro, Tanga, Singida, Dodoma ama Morogoro iwe ni shula ya Wasichana ya Serikali
Yeye amemaliza Darasa la Saba na ana Grade ya B na alisomaga bording kuanzia la kwanza mpaka Darasa la Saba hivyo naombeni kwa anaefahamu shule Bora ya Wasichana ya Serikali ndani ya hiyo Mikoa anisaidie
Natanguliza shukrani