Natafuta shule ya private ya kufundisha

Mlalahoi Mlalahai

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
399
146
Hello, nina degree ya Accounting na Finance ninatafuta shule ya private ili nifundishe Commerce na Bookkeeping, pia nina uwezo wa kufundisha, Economics, Geography,History,GS, Civics.

Nipo tayari kuja popote
 
Hello, nina degree ya Accounting na Finance ninatafuta shule ya private ili nifundishe Commerce na Bookkeeping, pia nina uwezo wa kufundisha, Economics, Geography,History,GS, Civics. Nipo tayari kuja popote
umemaliza chuo gani?
 
Sasa waliosoma education inakuwaje? Anzisha madarasa ya jioni kwa wanafunzi ,, utatengeneza pesa na kusaidia wengi
 
Hello, nina degree ya Accounting na Finance ninatafuta shule ya private ili nifundishe Commerce na Bookkeeping, pia nina uwezo wa kufundisha, Economics, Geography,History,GS, Civics.

Nipo tayari kuja popote
Teaching ni profession sasa wewe sio Mwalimu yaani hujui vipengele vya kuzingatia wakat unafundisha,kanuni na taratibu za ualimu;mbali ya hapo ualimu ni zaidi ya kufundisha.
Lakini nakuombea upate kaz maana najua kuwa huna ajira yoyote.
 
Yeah, vipi kwa wale wanaobakishwa vyuoni na kuanza kufundisha kutokana na kufaulu vizuri, huwa wanajifunza ualimu wapi wale?
 
Hahaha.. Umenichekesha sana jinsi unavyojitetea, hivi wale ma lecturer wamesomea kufundisha!??? Is lecturer a teacher!?? Ukilinganisha na defensive yako
 
taaluma blah blah blah yote hakuna kitu, mtu ukiwa na uelewa mzuri wa somo husika na unaweza kuelezea kitu (hii ni inborn character, haifundishwi) unakua mwalimu mzuri sana,mambo ya kua na taaluma ya ualimu nadhani ni formality tu ambayo kama mmiliki wa shule ni mjanja unaweza jua namna ya kupata walimu wazuri kisha kuwageuza na kuwafanya wawe na vyeti
 
Dah, nimekuelewa sana aiseeh. Kweli unaweza kusomea ualimu lakini ukienda class ni majanga mwanzo mwisho.
 
Asanteni wakuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom