Natafuta shule ya Private A level yenye mchepuo wa CBG katika mikoa hii Mbeya na Morogoro

khamis930

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
204
225
Mwenye kujua shule ya Private A level yenye mchepuo wa CBG katika mikoa hii Mbeya, Morogoro na Mbeya anisaidie kunitajia majina yake, sifa zake katika kufaulisha wanafunzi na Gharama zake pia
Nawasilisha
 
Handsome man

JF-Expert Member
May 6, 2017
899
1,000

Kwa mbeya ni pandahill high school, uwata boys, meta high school,wastan wa ada ni range ya mil 1.8-2.0
 
Kingdavi.ii

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,181
2,000
M
Kwa mbeya ni pandahill high school, uwata boys, meta high school,wastan wa ada ni range ya mil 1.8-2.0
eta kuna cbg lakini ubabaishaji mwingi licha ta ada yao kuwa chini
Perfomancw ya shule inazidi kushukavkula mwaka tofauti na zamani .
Watu wanaangalia uccm badala ya uwezo wa mtu kufanya kazi (ni shule ya chama)
pandahil is the best kwa mkoa mby
 
khamis930

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
204
225
M

eta kuna cbg lakini ubabaishaji mwingi licha ta ada yao kuwa chini
Perfomancw ya shule inazidi kushukavkula mwaka tofauti na zamani .
Watu wanaangalia uccm badala ya uwezo wa mtu kufanya kazi (ni shule ya chama)
pandahil is the best kwa mkoa mby
Unayo maanisha hapa n shule gan?
 
Kingdavi.ii

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,181
2,000
Namaanisha pandahill ni shule nzuri na kama unaitaji nafasi wahi kwani zikijaa hawazidishi idadi ya kupoke wanafunzi

Ukikosa jaribu shule nyingine but sikushauri kumpeleka mtoto meta unless awe na uwezo wa kutika kwa nguvu zake pekee bila kutegemea shule hii (ajue kuwa ni kituo cha mitihani)

Unayo maanisha hapa n shule gan?
 
Handsome man

JF-Expert Member
May 6, 2017
899
1,000
Kutokana na hali halisi ya a level kama matokeo yako ya na kuruhusu kusomea cbg shule ya serikali nenda tu
Maana a level hata ufundishwe vipi baado itakuhitaji utumie jitihada kubwa kusoma
 
khamis930

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
204
225
Kutokana na hali halisi ya a level kama matokeo yako ya na kuruhusu kusomea cbg shule ya serikali nenda tu
Maana a level hata ufundishwe vipi baado itakuhitaji utumie jitihada kubwa kusoma
Sawa bt unafuu unakuepo c sawa na baadhi ya Shule za Government
 
Handsome man

JF-Expert Member
May 6, 2017
899
1,000
Sawa bt unafuu unakuepo c sawa na baadhi ya Shule za Government
Unafuu uliopo ni kwamba unapata mitihani mingi ya kukupima the rest ni sawa tu, tena wa serikali hupata mda mwingi wa kusoma ungekuwa pcb sawa fizikia inahitaji upewe mwongozo mkubwa
Ni mtazamo tu
 
Ze Heby

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,512
2,000
Ila mkuu hiyo CBG sio kwamba ina uwanda mwembamba wa kozi 'nzuri' chuo kikuu?

Nadhani kama inawezekana asome tu PCB akasome afya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom