Natafuta shule ya kujitolea kufundisha masomo ya Hesabu na Fizikia, cha msingi nipate sehemu ya kulala na kula tu

Habari zenu jamani, hakika Dunia tambalabovu niukweli kwamba maisha yamenipiga nimepigika nipo chapachapa. Hivyo ninaomba kwaanaeweza kunisaidia Nipate shule yoyote ya kujitolea sitaki kulipwa hata sent chamsingi Nipate chakula cha mchana tu jioni nitapiga pasi ndefu.

Mimi nimuhitimu wa chuo cha kati chuo cha ualimu tabora nimesomea ngazi ya stashahada masomo ya physics na mathematics.

Kwa yeyote mwenye mchongo anisaidie imefika wakati natembea njiani huku naongea pekee angu kwa msongo wa mawazo, na njaa inavyonitandika. Asante
Halooo tatizo lako limekwisha.

Wasiliana nami nikupe connection, hata ukitaka uanze kesho. Ni wewe mwenyewe tu
 
Back
Top Bottom