Natafuta shule ya kujitolea kufundisha masomo ya Hesabu na Fizikia, cha msingi nipate sehemu ya kulala na kula tu

Pole sana ila mwisho wa siku huwa, mkishatoka kazini hamchelewi kwenda idara ya kazi na kusema hata mshahara nilikuwa sipewi..., yaani mlo mmoja tu na kulazwa sebuleni, wala mkataba sikupewa

Hivyo Nadai madai ya mishahara yangu yote (miaka kadhaa); likizo; overtime, n.k. n.k.
 
Pole sana ila mwisho wa siku huwa, mkishatoka kazini hamchelewi kwenda idara ya kazi na kusema hata mshahara nilikuwa sipewi..., yaani mlo mmoja tu na kulazwa sebuleni

Hivyo Nadai madai ya mishahara yangu yote (miaka kadhaa); likizo; n.k. n.k.
Hapana sifanyi ivo
 
Shda ndo huanzia hapoo
 
Hapana sifanyi ivo
Am sure kwa sasa hauwezi kufanya hivyo ila utakapokosana na Boss akakufukuza am sure wale ma-Bush Lawyer lazima watakushawishi tu...

Anyway kujitolea ni jambo zuri jaribu kuzungukia mashule ya karibu na wewe..., na nina uhakika kazi yako ikiwa nzuri wewe utakuwa na uwezekano wa kupata ajira kamili (na sio chakula tu) kuliko mtu aliyepo nje (as well as unaweza ukapa na opportunity za kufundisha tuitions)
 
Baobab secondary na malyani girls bagamoyo ,Niko hapa Luther girls kulikuwa na nafasi mbili Sasa Kuna walimu wamekava ,awajamaliza hata mwezi.
 
Upo tayari kuolewa tuanze maisha

Nataka nisaidie inaitwa "two in one"
 
Habari zenu jamani, hakika Dunia tambalabovu niukweli kwamba maisha yamenipiga nimepigika nipo chapachapa. Hivyo ninaomba kwaanaeweza kunisaidia Nipate shule yoyote ya kujitolea sitaki kulipwa hata sent chamsingi Nipate chakula cha mchana tu jioni nitapiga pasi ndefu.

Mimi nimuhitimu wa chuo cha kati chuo cha ualimu tabora nimesomea ngazi ya stashahada masomo ya physics na mathematics.

Kwa yeyote mwenye mchongo anisaidie imefika wakati natembea njiani huku naongea pekee angu kwa msongo wa mawazo, na njaa inavyonitandika. Asante
Njoo Shuleni kwangu Nipo mtwara wilaya ya masasi,, kula kulala ,,,,na posho kidgo
Njoo Inbox
 
Habari zenu jamani, hakika Dunia tambalabovu niukweli kwamba maisha yamenipiga nimepigika nipo chapachapa. Hivyo ninaomba kwaanaeweza kunisaidia Nipate shule yoyote ya kujitolea sitaki kulipwa hata sent chamsingi Nipate chakula cha mchana tu jioni nitapiga pasi ndefu.

Mimi nimuhitimu wa chuo cha kati chuo cha ualimu tabora nimesomea ngazi ya stashahada masomo ya physics na mathematics.

Kwa yeyote mwenye mchongo anisaidie imefika wakati natembea njiani huku naongea pekee angu kwa msongo wa mawazo, na njaa inavyonitandika. Asante
Kuna shule moja ya masister inaitwa Debrabant ipo Saku ni maeneo ya chamazi sina uhakika ila ebu nenda uwaelezee wanaweza kukusaidia
 
Shule gani nije maana jana nimeenda shule takribani nne, mburahati secondary, nikaenda kibasila secondary, tambaza na jangwani secondary zote wananiambia hawana accommodation wala msosi hivyo wakanishauri niendelee kutafuta nisichoke
Nenda pvt schools
 
Kwenda hizo shule ilikuwa ni kosa la kiufundi. Anyway, siifahamu Mburahati lakini zingine ulizotaja ni serikali ndiyo inahusika kwa kila kitu, hivyo shule kama shule ni ngumu kuwa na bajeti ya pembeni ku-cater mtu wa aina yako. Wewe unatakiwa kwenda ama shule za binafsi ambazo mtu mmoja tu ndie anafanya maamuzi au angalau shule za kata. Jaribu kufanya research kufahamu wamiliki au angalau administrators wa shule mbali mbali kisha kawa-face hao moja kwa moja. Achana na hayo mashule makubwa; kama ndoto yako ni kufundisha shule zenye status basi fanya hivyo wakati tayari unapo pa kujishikisha.
 
Back
Top Bottom