Natafuta shule ya kufundisha Biology,Chemistry na Physics

MOSHIFST

Senior Member
Jun 4, 2014
136
247
Wakuu niko Moshi natafuta shule ya kufundisha "theory & practicals" kwa masomo ya biology,chemistry na physics kwa O level.Kwa advanced level ni Biology na chemistry.Niko moshi mjini na naweza fundisha shuls ya aina yoyote ile
 
Mkuu unachekesha sana naona uko kimaslahi zaidi HV n professional Gan hiyo umesomea ya masomo matatu???...binafsi sijawahi kuiona labda unijuze..... NB; kama unataka kazi private school au government school omba hiyo kazi kwa masomo yako otherwise hutapata maana unaonekana kua kimaslahi zaidi au nenda centre ukafundshe hayo yote matatu
 
Wakuu niko Moshi natafuta shule ya kufundisha "theory & practicals" kwa masomo ya biology,chemistry na physics kwa O level.Kwa advanced level ni Biology na chemistry.Niko moshi mjini na naweza fundisha shuls ya aina yoyote ile
Itakuwa vizuri kama utaweka wasifu wako wa kitaaluma ili kuona namna ya kukusaidia.
 
Mkuu nimepiga PCB but nina degree masuala mengine siyo ya elimu but nafanya kazi ya kitafiti na maabara hapa MOSHI so,natafuta kama extra job
 
Kumbe una kazi! Ongeza ufanisi wako wa kazi badala ya kudandia fani za wenyewe. Kipato kitaongezeka kutokana na thamani yako kazini. Maisha mema mkuu.
 
Wakuu niko Moshi natafuta shule ya kufundisha "theory & practicals" kwa masomo ya biology,chemistry na physics kwa O level.Kwa advanced level ni Biology na chemistry.Niko moshi mjini na naweza fundisha shuls ya aina yoyote ile
umemaliza dgree
 
kuna shule hitaj mwalim wa sayans mondul
 
Wakuu niko Moshi natafuta shule ya kufundisha "theory & practicals" kwa masomo ya biology,chemistry na physics kwa O level.Kwa advanced level ni Biology na chemistry.Niko moshi mjini na naweza fundisha shuls ya aina yoyote ile
ISM is Hiring wahi mshahara ni USD kama uko vzr ni hela ndefu
 
Saivi ukitafuta extra job huwezi pata.. Shule za private siku hizi zinataka walimu wanaokaa muda mrefu zaidi
 
Back
Top Bottom