Natafuta shule private mchepuo was PCB

Pandahill aende kujifunza kuvuta Sigara na Bangi .,......nina rafiki zangu wengi walienda kuharibikia Pandahill

Dogo sikushauri uende Pandahill tafuta shule strict kwa manufaa yako ERNEST TZ like St Marian
Kwani kuvuta bangi na sigara ni kuharibika??? Mawaziri wabunge na wakurugenzi wakubwa serikslini wanavuta bangi,Obama naye anavuta sigara,kwa hiyo naye aliharibika?
 
Back
Top Bottom