Natafuta Shule nzuri ya Msingi ya Kikristo

Kitumburee

Senior Member
Jan 31, 2012
139
88
Heshima kwenu wanajamvi.

Naomba nwenye kujua shule nzuri ya msingi ya kutwa / day kumwanzisha mtoto darasa la kwanza. Shule iwe Dar Es Salaam maeneo ya Mbezi beach au Goba au maeneo ya jirani, ikiwa ya kikristo itapendeza. Ada isiyozidi milioni 4 kwa mwaka.

Shukrani
 
Kama haujapata.. au unaweza badilisha mawazo consider St. Anne Marie, ipo mbezi ya kimara but wana usafiri na ipo vizuri mnoo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom