Natafuta shule nikafundishe Jamani

Mimi ni msichana ninaependa kujituma na ninaelimu ya chuo niko tayari na ninauwezo wa kufundisha masomo ya arts naishi Dar es salaam. pliz msaad ktk hili

mkiambiwa mwende Education hamtaki...tena mara nyingi ninyi mkiwa chuo huwa mnawaona watu wa education kama sio wa maana hivi mtaani yakiwashinda, mnataka ualimu....EVERYBODY CAN BE A TEACHER BUT NOT ALL CAN TEACH...UNAJUA HATA PSYCHOLOGY YA KU DEAL NA WANAFUZI WEWE? NINYI SI NDIO MNAFANYA WATU WAENDELEE KUWA WAJINGA MAISHA YAO YOTE ...KUFUNDISHA SI KUINGIA TU DARASANI, UNAIJUA LESSON PLAN ? INA VIPENGELE VINGAPI? NI YA NINI?INATUMIKAJE, KIVIPI ...KAMA HUJUI HAYA YOTE HUFAI KUWA MWL. KWAHERI ...SUBIRI KUWA MWANA SOCIALOJIA.
 
Watu wameitumia miaka mitatu,miwili,kusomea fani ya ualimu halafu wewe from no where unataka ukafundishe? Aaah dada! Acha dharau. Kufundisha ni process je unazijua? Kumfundisha mwanafunzi ni zaidi ya wewe kulijua hilo somo. Heshimu taaluma ya watu- wanafunzi wakifeli walimu wanalaumiwa kumbe nao wanakuwa wamehujumiwa na watu kama wewe. Endelea ktafuta kazi katika field yako utapata. Naona kuna umuhimu watu wawe wanafanyiwa Counselling and Guidance kabla ya kuapply kozi za kusoma vyuoni maana wengi wenu uchaguzi wenu huwa unaongozwa na mob psychology.
 
mkiambiwa mwende Education hamtaki...tena mara nyingi ninyi mkiwa chuo huwa mnawaona watu wa education kama sio wa maana hivi mtaani yakiwashinda, mnataka ualimu....EVERYBODY CAN BE A TEACHER BUT NOT ALL CAN TEACH...UNAJUA HATA PSYCHOLOGY YA KU DEAL NA WANAFUZI WEWE? NINYI SI NDIO MNAFANYA WATU WAENDELEE KUWA WAJINGA MAISHA YAO YOTE ...KUFUNDISHA SI KUINGIA TU DARASANI, UNAIJUA LESSON PLAN ? INA VIPENGELE VINGAPI? NI YA NINI?INATUMIKAJE, KIVIPI ...KAMA HUJUI HAYA YOTE HUFAI KUWA MWL. KWAHERI ...SUBIRI KUWA MWANA SOCIALOJIA.

hah ha mkuu mbona umeua hvyo? Umesahau na scheme of work hapo. Ualimu cyo chalking and talking, ualimu ni taaluma bwana
 
mkiambiwa mwende Education hamtaki...tena mara nyingi ninyi mkiwa chuo huwa mnawaona watu wa education kama sio wa maana hivi mtaani yakiwashinda, mnataka ualimu....EVERYBODY CAN BE A TEACHER BUT NOT ALL CAN TEACH...UNAJUA HATA PSYCHOLOGY YA KU DEAL NA WANAFUZI WEWE? NINYI SI NDIO MNAFANYA WATU WAENDELEE KUWA WAJINGA MAISHA YAO YOTE ...KUFUNDISHA SI KUINGIA TU DARASANI, UNAIJUA LESSON PLAN ? INA VIPENGELE VINGAPI? NI YA NINI?INATUMIKAJE, KIVIPI ...KAMA HUJUI HAYA YOTE HUFAI KUWA MWL. KWAHERI ...SUBIRI KUWA MWANA SOCIALOJIA.[/QUO philosophy of education=:?
 
Majibu mengine yanatia kinyaa na kichefuchefu, watu wazima mnajibu kama watoto, poor thinking capacity halafu unajiita great thinker, mnaboa
 
mkiambiwa mwende Education hamtaki...tena mara nyingi ninyi mkiwa chuo huwa mnawaona watu wa education kama sio wa maana hivi mtaani yakiwashinda, mnataka ualimu....EVERYBODY CAN BE A TEACHER BUT NOT ALL CAN TEACH...UNAJUA HATA PSYCHOLOGY YA KU DEAL NA WANAFUZI WEWE? NINYI SI NDIO MNAFANYA WATU WAENDELEE KUWA WAJINGA MAISHA YAO YOTE ...KUFUNDISHA SI KUINGIA TU DARASANI, UNAIJUA LESSON PLAN ? INA VIPENGELE VINGAPI? NI YA NINI?INATUMIKAJE, KIVIPI ...KAMA HUJUI HAYA YOTE HUFAI KUWA MWL. KWAHERI ...SUBIRI KUWA MWANA SOCIALOJIA.

Hebu toka zako na li education lako una linadi utafikili ni somo la dunia kwanza we mwenyewe ulilisoma kwa kulazimishwa na coz comb na perfomance yako ya form 6 .UMENIUDHI SANA MWENZIO ANAOMBA MSAADA WE UNAMPA MAHISIA YAKO YA EDUCATIOO HUKU UNAMSEMA VIBAYA nyau ngabu mkubwa wee.
 
Mi mwalimu ya humu ina hasira sana daa kweli serikali iboreshe maslahi ya walimu la sivyo hii sector watachanganyikiwa wengi mwaka huu.
 
Huko dar kupata kazi ya kufundisha ni ngumu toka njee kidogo ya mkoa mimi mwenyewe nilisotea kazi ya kufundisha zaidi ya mwaka ila niko mahali njee ya mkoa nimetulia nakula vitu vyangu
 
Degree ya sociology nimetafuta kazi nmechoka kwakuwa najua naweza fundisha nataka

Kama hutaona vibaya fanya hivi, rudi shuleni tena (OUT) ili uifanye kazi hii ya kufundisha iwe professional,kwa sababu ukianza kufundisha kienyeji utapata manyanyaso baada ya muda mfupi huko utakako pata ajira.

Njia ya pili inafanana na hiyo ya kwanza, anzia chini kabisa, nenda Montesory, kajifunze ualimu wa Chekechea,kisha anzisha nursery yako yenye kiwango huku ukipiga buku la ualimu ( OUT). Taratibu utaanza kufikiri kujenga shule ya msingi ya kwako kwa kupitia watoto wako wa nursery.

Maana bila cheti cha Ualimu kuna siku utatakiwa urudi darasani tena.
 
hebu toka zako na li education lako una linadi utafikili ni somo la dunia kwanza we mwenyewe ulilisoma kwa kulazimishwa na coz comb na perfomance yako ya form 6 .umeniudhi sana mwenzio anaomba msaada we unampa mahisia yako ya educatioo huku unamsema vibaya nyau ngabu mkubwa wee.

udengwa mdhuti.
 
Mi mwalimu ya humu ina hasira sana daa kweli serikali iboreshe maslahi ya walimu la sivyo hii sector watachanganyikiwa wengi mwaka huu.

unaleta habari zako za kula na kulala kwa baba yako."We uyawa uko nyuma" ila hako katabia kako utakuja kukutana na waitaliano siku moja ndio utajua kweli maisha magumu.
 
njoo arusha dada utasaidiwa, njoo st jude secondary au pitia kwenye website yao
 
Go to NGO's wengi wa Sociology hua wanamek ajira na ujira wa dolali aise, keep yo faith.
 
Hebu toka zako na li education lako una linadi utafikili ni somo la dunia kwanza we mwenyewe ulilisoma kwa kulazimishwa na coz comb na perfomance yako ya form 6 .UMENIUDHI SANA MWENZIO ANAOMBA MSAADA WE UNAMPA MAHISIA YAKO YA EDUCATIOO HUKU UNAMSEMA VIBAYA nyau ngabu mkubwa wee.

Yaani wewe ndo tabula kweli! Yaani huu ndo uwezo wako wa kufikiri? Hebu nambie qualification ya mtu kupata nafasi kufanya B.A (Ed) 'Chuo kikuu'
 
Hebu toka zako na li education lako una linadi utafikili ni somo la dunia kwanza we mwenyewe ulilisoma kwa kulazimishwa na coz comb na perfomance yako ya form 6 .UMENIUDHI SANA MWENZIO ANAOMBA MSAADA WE UNAMPA MAHISIA YAKO YA EDUCATIOO HUKU UNAMSEMA VIBAYA nyau ngabu mkubwa wee.

kaka, mimi sikutukani ila nataka ujitukane mwenyewe, naanza hivi: kwanza nina qualification safi ndo maana nikasoma Degree (Shahada) pili, nakupa upekee wa ualimu dunia nzima hakuna, unajua kwanini? hakuna professional (taaluma yeyote uijuayo wewe Duniani haikutoka ama kupitia mikononi mwa walimu, Taja zote mpaka aliyebuni chombo cha mwezini, mawasiliano unayotumia kuwacliana kutukana watu hapa, aliyebuni, alikaa chini, akimsikiliza mtu mwenye taaluma ya ualimu YANI MWALIMU" WEWE PIA UMEWAHI KUITII SAUTI YA MWALIMU, HAPO ULIPO, bisha, kama una matusi mengine njoo tena utukane..lakini kama Elimu yetu itaendelea kuchukuwa eti wana sosholojia mara B.a kiswahili mara history bila kijali weledi wa kazi nothing will be of worth to this nation, na nina guess muomba kazi aliwahi kutakiwa kwenda ualimu akautukana ...God is Great akataka kumwonesha ukitukana walimu umemtukana mpaka YESU, he was the Great teacher and yes he is, of the Millennium and millenniums

KWA HERI KWA SASA NASUBIRI TUSI JINGINE KISHA NIKUPE DAWA UPYAAAAA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom