Natafuta shule au shirika la kuwakodishia isuzu journey!

stezu

Member
Jul 15, 2011
13
3
WanaJf nimebarikiwa kununua minibus aina ya Isuzu Journey imesajiliwa,full ac,radio unaweza pia kutumia flash,ipo kwenye hali nzuri nilitaka kuifanya daladala ila naona ntasumbuana na madereva,tafadhali kama kuna ambaye ana hitaji hilo naomba anijulishe.
 
stezu .... jitahidi upate dereva nzuri na mwaminifu kwa ajili ya daladala ... itakulipa vizuri sana kuliko kulikodisha kwa shule ... shule zinalipa kidigo sana na pia itabidi uipige hiyo basi rangi la manjano mahususi kwa ajili ya mashule hivyo basi kuwa vigumu zaidi kupata kazi za kukodisha ... kazi za kukodiwa ni chache sana

dala dala kila siku hesabu inaingia
 
WanaJf nimebarikiwa kununua minibus aina ya Isuzu Journey imesajiliwa,full ac,radio unaweza pia kutumia flash,ipo kwenye hali nzuri nilitaka kuifanya daladala ila naona ntasumbuana na madereva,tafadhali kama kuna ambaye ana hitaji hilo naomba anijulishe.
Mkuu, kama upo Dar fuata ushauri wa LAT, mwenge via posta njia nzuri gari haichoki na hesabu inaingia
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Asanteni mkuu Lat/ Chatu dume nipo Dar - ntaufanyia kazi ushauri wenu,ila sina mtu wa karibu anayefanya biashara ya daladala, hivi kwa gharama za diesel siku hizi hesabu imefika ngapi kwa siku? kwa aliyeko kwenye indusry hii naomba asaidie nipate mwongozo.
 
Back
Top Bottom