Wakuu habari za jioni.
Mimi ni mwanachama mpya kabisa kwanza niwaombe mnikaribishe.
Dhumuni la huu uzi ni kuomba kama kuna yeyote anayefahamu wapi naweza pata mwalimu wa kumfundisha mtoto wangu Copmuter.
Ni mtoto mdogo wa miaka 7 hivi anasoma darasa la pili, ila ningependa kujaribu kumuexpose kwenye different fields kama ataonesha interest.
Binafsi ningependa awe na uelewa mkubwa kwenye mambo ya computer hivyo natafuta mwalimu au shule ninapoweza kumuexpose kwenye eneo hili ili kona kama atakuwa interested ili nimuendeleze.
Natanguliza shukrani zangu kwa msaada wenu.