Natafuta shule au mwalimu wa computer kwa mtoto

BabuLeo

Member
Sep 12, 2018
24
45
Wakuu habari za jioni.
Mimi ni mwanachama mpya kabisa kwanza niwaombe mnikaribishe.
Dhumuni la huu uzi ni kuomba kama kuna yeyote anayefahamu wapi naweza pata mwalimu wa kumfundisha mtoto wangu Copmuter.
Ni mtoto mdogo wa miaka 7 hivi anasoma darasa la pili, ila ningependa kujaribu kumuexpose kwenye different fields kama ataonesha interest.
Binafsi ningependa awe na uelewa mkubwa kwenye mambo ya computer hivyo natafuta mwalimu au shule ninapoweza kumuexpose kwenye eneo hili ili kona kama atakuwa interested ili nimuendeleze.

Natanguliza shukrani zangu kwa msaada wenu.
 
ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
1,863
2,000
Habari Kwanza nimefurahi sana kukutana na bandiko lako hili,mimi niko na project kama hio naifanyia kazi kwa ajili ya kufundisha watoto wa umri kati ya miaka 7 hadi 14 juu ya matumizi ya computer.Tayari hatua za awali za utekelezaji zimeanza ikiwa ni pamoja na kutafuta locations,walimu pamoja na vifaa vya ufundishaji.Kama uko Katika Jiji la Dar es salaam mwanao anaweza kuwa mwanafunzi wangu wa kwanza.

Na iwapo nitakuja kumfundishi nyumbani kwako kwa sababu hio option ipo na natumia mini laptops kufundisha basi nitafurahi kama watakuwa watoto watano ili darasa linoge.Nakuja PM.Hii ni kwa wadau wote ambao wangependa kuwapa watoto wao fursa ya kujifunza kompyuta katika umri mdogo.Mawasiliano yangu ni 0753752021.Karibu
 
BabuLeo

Member
Sep 12, 2018
24
45
Habari Kwanza nimefurahi sana kukutana na bandiko lako hili,mimi niko na project kama hio naifanyia kazi kwa ajili ya kufundisha watoto wa umri kati ya miaka 7 hadi 14 juu ya matumizi ya computer.Tayari hatua za awali za utekelezaji zimeanza ikiwa ni pamoja na kutafuta locations,walimu pamoja na vifaa vya ufundishaji.Kama uko Katika Jiji la Dar es salaam mwanao anaweza kuwa mwanafunzi wangu wa kwanza.

Na iwapo nitakuja kumfundishi nyumbani kwako kwa sababu hio option ipo na natumia mini laptops kufundisha basi nitafurahi kama watakuwa watoto watano ili darasa linoge.Nakuja PM.Hii ni kwa wadau wote ambao wangependa kuwapa watoto wao fursa ya kujifunza kompyuta katika umri mdogo.Mawasiliano yangu ni 0753752021.Karibu[/QUOTE

Mkuu karibu sana Mimi niko Dar na mtoto yupo Dar pia. Nakusubiri PM Mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom